Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Mtu yoyote anayesema Mayele ndo mfungaji bora pekee...aweke dau hapa, tukamatane siku ya tuzo dadeki...naweka laki 1...mtu aje hapa...Ukijifanya kudanganya mimi ntakupata tu
@Labani og weka dau hapa usiruke ruke kama pop corn kikaangoni
 
Sasa hapa umeongea kama mshabiki sio mchambuzi
Btw Ishu ya bandari imefikia wapi?
Utani tu mkuu

Anyway.....swala la bandari liko owky

I'n Capitalist perspectives....l

Hakuna serikali inayofanya biashara......but kazi.ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri Kwa private entities
 
Back
Top Bottom