Saido Ntibanzokiza afunguka ya Moyoni! Inasikitisha

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.

Mimi ni kijana wa kiislam ni nguvu kuniambia nile yai viza ili timu ishinde na hii ndio chanzo cha mgogoro na viongozi. Hapa tanzania giant ni mmoja tu simba sc kutokana na mfumo wake bora wa uendeshaji.

Tuwaeleze mashabiki ukweli kuliko kuwaficha na kujikuta wanajenga chuki na wachezaji. Kaze aliambia alale kwenye sakafu wiki moja kuelekea derby ya mzunguko wa kwanza pia aligoma ndio chanzo cha kuchukiwa na baadhi ya viongozi.

Natamani kucheza Azam maana ndio timu ninayoona itanipendeza. Kocha mpya nimejitahidi kuongea nae japo nilishindwa kumueleza yaliyo nyuma ya pazia maana nilikuwa nimesimamiwa na viongozi ambao ni chanzo cha mgogoro"

Saido Ntibazonkiza (akihojiwa na mwandishi wa burundi Nuhu Kwizela.


 
Ni fedheha na ni mambo ya aibu sana kwenye soka. Unategemea ule mayai visa ndio ubebe ubingwa!!!!!! nasema hivi mtakuwa hadi nyama za maiti ubingwa sahauni
 
Kuna vitu vya kujiuliza mtu km una akili timam.Hv dunia hii ni binadam gan atakubal kula yai viza?Huu ni uzushi.
Lakin suala la kukatazwa kulala kitandan,halaf uambiwe ulale chini hili ni la kawaida.Mashart ambayo waganga weng wanatoa.Na weng wanayaweza.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Unashangaa yai viza, wakati watu wanalishwa mpaka maiti iliyooza.
 
Kipindi hicho nikiwa nacheza mpira ligi za mchangani tu ilikuwa ligi ya mwambambe aise tuliletewa maji ya maiti tuoge walahi na jamaa yangu tulikimbia kama hatuna akili vizuriii maana tulikimbia peku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…