Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.
Mimi ni kijana wa kiislam ni nguvu kuniambia nile yai viza ili timu ishinde na hii ndio chanzo cha mgogoro na viongozi. Hapa tanzania giant ni mmoja tu simba sc kutokana na mfumo wake bora wa uendeshaji.
Tuwaeleze mashabiki ukweli kuliko kuwaficha na kujikuta wanajenga chuki na wachezaji. Kaze aliambia alale kwenye sakafu wiki moja kuelekea derby ya mzunguko wa kwanza pia aligoma ndio chanzo cha kuchukiwa na baadhi ya viongozi.
Natamani kucheza Azam maana ndio timu ninayoona itanipendeza. Kocha mpya nimejitahidi kuongea nae japo nilishindwa kumueleza yaliyo nyuma ya pazia maana nilikuwa nimesimamiwa na viongozi ambao ni chanzo cha mgogoro"
Saido Ntibazonkiza (akihojiwa na mwandishi wa burundi Nuhu Kwizela.