Saido Ntibanzokiza afunguka ya Moyoni! Inasikitisha

Fake
 
Hata Mimi kulala kwenye sakafu siwezi siku saba siwezi.
 
Haya mambo nouma Sana , hasa Africa kuna ushirikina mkubwa Sana kwenye soka, kpind tukiwa wadogo kwenye ligi za ng'ombe za kijiji , Kaka zangu wakiwa wanachezea timu ya kijijini tulikuwa tunaenda Kwa waganga Kama wote yaani , sometyme mganga anakuja usiku , mnaenda uwanjani usku wa manane kuweka madawa na moja ya shrti maarufu ni kuwa , mpira ukianza Tu , mchezaji wa Kwanza wa timu yenu atakayeunasa mpira shart aupige nje....
Mbali na ulozi huo bado tulikuwa tunachapika Tu , sometyme tunashinda , ilikuwa amsha amsha sana na mipira ilikuwa inapasuka hatari
 
Mtu anataaluma yake unamwambia alale chini ili mshinde si bora muajiri waganga wawe makocha kabisa, ili timu bora liamishiwe sumbawanga kabisa
 
Hii habari ni fake..lakini kiuhalisia pale yanga pana shida kubwa sana....
 
Hahahahahaha,,,,,Dah ila utopolo kwel utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…