Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Silka ya jamii ilee ambayo kocha wao alishasemaToba.. kumbe wale jamaa wanakulaga mayai viza! ayayayaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silka ya jamii ilee ambayo kocha wao alishasemaToba.. kumbe wale jamaa wanakulaga mayai viza! ayayayaaa.
"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.
Mimi ni kijana wa kiislam ni nguvu kuniambia nile yai viza ili timu ishinde na hii ndio chanzo cha mgogoro na viongozi. Hapa tanzania giant ni mmoja tu simba sc kutokana na mfumo wake bora wa uendeshaji.
Tuwaeleze mashabiki ukweli kuliko kuwaficha na kujikuta wanajenga chuki na wachezaji. Kaze aliambia alale kwenye sakafu wiki moja kuelekea derby ya mzunguko wa kwanza pia aligoma ndio chanzo cha kuchukiwa na baadhi ya viongozi.
Natamani kucheza Azam maana ndio timu ninayoona itanipendeza. Kocha mpya nimejitahidi kuongea nae japo nilishindwa kumueleza yaliyo nyuma ya pazia maana nilikuwa nimesimamiwa na viongozi ambao ni chanzo cha mgogoro"
Saido Ntibazonkiza (akihojiwa na mwandishi wa burundi Nuhu Kwizela.
Wasipofanya ndio wanafungwa sasalicha ya wachawi fc/wanga fc kufanya ushirikina sare zinawaandama daily.
Fake news, achana na kuwasikiliza hawa paka FCYanga Wana ufala Sana washenzi Sana
Mambo ya kizamani wanaleta kwenye soko la kisasa
Shwain
Mimi shabiki yanga Ila wananikera Sana wapuuzi wenye vinafasi pale klabuni
[emoji23][emoji23]Mayai Viza FC
Acha kupotoshaMbona Papaa Zahera alishasema Yanga ni manyani.
Bali nani?Acha kupotosha
Aliyesema hivyo sio Zahera