Saido Ntibanzokiza afunguka ya Moyoni! Inasikitisha

Ajib alivyokuwa utopolo
 
Gongowazi watabisha
 
Weka hapa mahojiano hayo....propaganda mbaya sana
 
Ukiona mtu anauamini ujinga na upumbavu kuhusu habari Hii ujue Ana matatizo kichwani
 
#EagleNetwork

Download Eagle Mining app at Eagle is a new and free digital currency you mine on your phone. Join as a pioneer and earn big!

Eagle Network is a New Cryptocurrency with an Elevated Proof of Stake (Epos) Blockchain Launched February 2021

Did you missed mining Bitcoin since 2009? Don't miss out again!

Join to mine for free without any hardware.

Free mining of Eagle No Internet needed to mine Eagle No battery drain No data drain

Use my referral code: DAUD9700

Register with Facebook or email or your number at ....

Eagle is a new and free digital currency you mine on your phone. Join as a pioneer and earn big!. NB referrals Ni daud9700[emoji736]
 
Habari haina hata video 😂😂 haya wacha na mimi ntunge stori yangu punda ana mabawa
 
Alisikika [emoji250] mmoja [emoji81]

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui mambo kaa kimya, hao wanaopewa masharti na waganga tena wengine ni ma prof, wanakuwa hawana akili timamu?unajua maana ya imani wewe?nani asiyejua kuwa kwenye soka letu hayo ni mambo ya kwaida sana?
 
Hatari sana...Wananchi. Timu ya Wananchi....
Kama anacho kiongea huyo mchezaji kina ukweli, basi viongozi wa Yanga wanazingua. Mambo gani sasa ya kulishana mayai viza na kulazana chini!

Mimi ni Mwananchi, ila kamwe siwezi kuunga mkono vitendo vya kipuuzi. Kwanza Msolla atuambie mchakato wa kuibadilisha Yanga umeishia wapi! Badala ya kutuletea tu kila siku stori feki za Morrison, na kufukuza makocha kila wanapo jisikia.

Ni vyema wakamuajiri Kocha bora ili adumu muda mrefu kwenye klabu, badala ya kuokoteza tu mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…