Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mtakula sana mayai viza mtaishia kwenda chooni lakini ubingwa hampati [emoji2957]Bodaboda fc lipeni deni la Asante Kwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakula sana mayai viza mtaishia kwenda chooni lakini ubingwa hampati [emoji2957]Bodaboda fc lipeni deni la Asante Kwasi
Bali nani?
Shahidi si ni Huyo mchezaji wenu anashuhudia! Tena ni shahidi Wa kuona si wa kuambiwa!Weka ushahidi
Bodaboda fc lipeni deni la Asante Kwasi
Rejea speech yake siku anaondoka uto.Dj luc
Ajib alivyokuwa utopoloHaya mambo nouma Sana , hasa Africa kuna ushirikina mkubwa Sana kwenye soka, kpind tukiwa wadogo kwenye ligi za ng'ombe za kijiji , Kaka zangu wakiwa wanachezea timu ya kijijini tulikuwa tunaenda Kwa waganga Kama wote yaani , sometyme mganga anakuja usiku , mnaenda uwanjani usku wa manane kuweka madawa na moja ya shrti maarufu ni kuwa , mpira ukianza Tu , mchezaji wa Kwanza wa timu yenu atakayeunasa mpira shart aupige nje....
Mbali na ulozi huo bado tulikuwa tunachapika Tu , sometyme tunashinda , ilikuwa amsha amsha sana na mipira ilikuwa inapasuka hatari
Gongowazi watabisha"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.
Mimi ni kijana wa kiislam ni nguvu kuniambia nile yai viza ili timu ishinde na hii ndio chanzo cha mgogoro na viongozi. Hapa tanzania giant ni mmoja tu simba sc kutokana na mfumo wake bora wa uendeshaji.
Tuwaeleze mashabiki ukweli kuliko kuwaficha na kujikuta wanajenga chuki na wachezaji. Kaze aliambia alale kwenye sakafu wiki moja kuelekea derby ya mzunguko wa kwanza pia aligoma ndio chanzo cha kuchukiwa na baadhi ya viongozi.
Natamani kucheza Azam maana ndio timu ninayoona itanipendeza. Kocha mpya nimejitahidi kuongea nae japo nilishindwa kumueleza yaliyo nyuma ya pazia maana nilikuwa nimesimamiwa na viongozi ambao ni chanzo cha mgogoro"
Saido Ntibazonkiza (akihojiwa na mwandishi wa burundi Nuhu Kwizela.
Anasema Yanga ni genge la washirikinaKwani Asante Kwasi yeye anasemaje?
"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.

Alisikika [emoji250] mmoja [emoji81]"Nimezunguka Nchi Nyingi Kisoka Ila Yanga Ndio Timu Iliyonishangaza Kimfumo, Sizani Kama Ni Sahihi Afisa Uhamasishaji Kupanga Kikosi Yani Amekuwa Na Nguvu Kuliko Kocha, Binafsi Sijavutiwa Kubaki Hapa.
Mimi ni kijana wa kiislam ni nguvu kuniambia nile yai viza ili timu ishinde na hii ndio chanzo cha mgogoro na viongozi. Hapa tanzania giant ni mmoja tu simba sc kutokana na mfumo wake bora wa uendeshaji.
Tuwaeleze mashabiki ukweli kuliko kuwaficha na kujikuta wanajenga chuki na wachezaji. Kaze aliambia alale kwenye sakafu wiki moja kuelekea derby ya mzunguko wa kwanza pia aligoma ndio chanzo cha kuchukiwa na baadhi ya viongozi.
Natamani kucheza Azam maana ndio timu ninayoona itanipendeza. Kocha mpya nimejitahidi kuongea nae japo nilishindwa kumueleza yaliyo nyuma ya pazia maana nilikuwa nimesimamiwa na viongozi ambao ni chanzo cha mgogoro"
Saido Ntibazonkiza (akihojiwa na mwandishi wa burundi Nuhu Kwizela.
Kama hujui mambo kaa kimya, hao wanaopewa masharti na waganga tena wengine ni ma prof, wanakuwa hawana akili timamu?unajua maana ya imani wewe?nani asiyejua kuwa kwenye soka letu hayo ni mambo ya kwaida sana?Kuna vitu vya kujiuliza mtu km una akili timam.Hv dunia hii ni binadam gan atakubal kula yai viza?Huu ni uzushi.
Lakin suala la kukatazwa kulala kitandan,halaf uambiwe ulale chini hili ni la kawaida.Mashart ambayo waganga weng wanatoa.Na weng wanayaweza.
Za kuambiwa changanya na zako.
Kama anacho kiongea huyo mchezaji kina ukweli, basi viongozi wa Yanga wanazingua. Mambo gani sasa ya kulishana mayai viza na kulazana chini!Hatari sana...Wananchi. Timu ya Wananchi....