Saido Ntibanzokiza tunasubiri tamko lako

Kwani ni siri?

Mchizi alikataa kupigwa chale za ulimi kwakua yeye dini yake haimruhusu

Kina mayele bado wana vidonda vibichi
 
😂😂🤣🤣😅😅😆😆😁😁😄😄😃😃😆😆😁😁
 
Una amini sana uchawi
Hizo ni tetesi ambazo mwana anadai kuwa Yanga imemchafukia jina lake kwa kumpa tuhuma za uongo (ulevi)

Wakati behind the scene ni kwamba baada ya yeye kukataa kuchanwa viwembe na mganga ambaye alikuwa anawahimiza wafanye hivyo ili wapate ushindi, club ikaamua kumsimamisha

Na msela amesema atasema ukweli ambao umepindishwa
 
Akisema goli linafutwa na kupewa Simba? Kwenye maisha X haongelewagi mazuri yaani ni kuchafuana tu.
 
Hizo ni tetesi ambazo mwana anadai kuwa Yanga imemchafukia jina lake kwa kumpa tuhuma za uongo (ulevi)

Wakati behind the scene ni kwamba baada ya yeye kukataa kuchanwa viwembe na mganga ambaye alikuwa anawahimiza wafanye hivyo ili wapate ushindi, club ikaamua kumsimamisha

Na msela amesema atasema ukweli ambao umepindishwa
Sawa cha msingi tumewapiga hayo kaeni nayo
 
Kocha anasemaje kwan
 
Attachments

  • Pablo-Franco-SIMBA.jpg
    Pablo-Franco-SIMBA.jpg
    25.5 KB · Views: 8
Kwani ni siri?

Mchizi alikataa kupigwa chale za ulimi kwakua yeye dini yake haimruhusu

Kina mayele bado wana vidonda vibichi
Leo hakuna malalamiko ya yanga kununua MECHI 😂😂
 
Back
Top Bottom