Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

Haya mawazo ndio yanatakiwa Sasa.Hii itasaidia hata viongozi kuwafuatilia na Pengine kuamua na pengn kuvunja Benji kupata saini.Kongole mkuu .
 
Haya mawazo ndio yanatakiwa Sasa.Hii itasaidia hata viongozi kuwafuatilia na Pengine kuamua na pengn kuvunja Benji kupata saini.Kongole mkuu .
Nawashukuru viongozi wa Simba kwa kusikia pendekezo langu la kumsajili Tadeo Lwanga nililitoa mwaka jana kwenye uzi mojawapo humu ndani Sesten Zakazaka aliuanzisha mpaka sasa tumeshaona matunda yake.
 
Nawashukuru viongozi wa Simba kwa kusikia pendekezo langu la kumsajili Tadeo Lwanga nililitoa mwaka jana kwenye uzi mojawapo humu ndani Sesten Zakazaka aliuanzisha mpaka sasa tumeshaona matunda yake.
Duuh!!Kumbe ulishamuona kabla hajatua Msimbazi??.Kama Ni ndio kwa kweli wewe Ni mtu muhimu Sana.Maana Thadeo Ni Kati ya wachezaji walio copy mapema kwny mfumo wa Simba.Kwa kweli sikupigii chapuo Ila Ningeomba viongozi wa Simba Kama watapitia Comment yangu wakuangalie kwa Jicho la tatu.Hasa kwny Scouting.
 
Post namba 134
Kuna nyuzi nyingi za usajili ambazo nilipendekeza Tadeo Lwanga asajiliwe kama replacement ya Kotei niliweka machaguo mawili Julius Mutyaba au Tadeo Lwanga.
 
hilo ndo suala kubwa issue wanaona kwamba mwambusi kamfukuzisha kaze mburundi mwenzao,akaonyesha ishara ya kwamba tumia akili ikamuudhi had kaseke kijana mpendwa wa mwambusi toka enzi za mbeya city,kumbuka mwambusi alimpa hadi kaseke u kapteni ambao baadae alipokwa kwa dharau
 
Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.

Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
unajua saido umri wake wa passport ni 33? 2002 kule arusha kwenye michezo ya rollingstone under-15 iliyowashirikisha hadi kina earasto nyoni wachezaji wa timu pinzani walikuwa wanamlalamikia saido ntibanzokiza kwamba ni mkubwa siyo under 15?
 
Lakini si tayarii tulishamsajili beki kitasa mzimbabwe Muduha ambaye nadhani ni mchezaji mzuri kwa nilivyomuona Chan
 
Lakini si tayarii tulishamsajili beki kitasa mzimbabwe Muduha ambaye nadhani ni mchezaji mzuri kwa nilivyomuona Chan
walikuwa wamesajiliwa kwa miezi sita tu ila yeye na lokosa wamevunjiwa mkataba ,mwalimu kashindwa kuvunja patnership ya wawa na onyango, wamekula mshahara wa bure dollar 5000 kwa mwezi(times 4)wamekula bonus dah wametusua karibu 40,000 usd kila mtu kwa miezi 4
 
Saido kwenda Simba huu uwongo wa mchana na ni dharau ya mwaka kwa klabu kubwa Afrika Simba kuhusishwa na mchezaji kama huyo. Umri na majeruhi ya mara kwa mara havimpi nafasi Saidoo kusajiliwa Simba. Simba ya sasa wanajielewa sana kwenye usajili hawakurupuki. Hizi ni stori na blah blah za kuwajambisha Yanga kwani huyo Saido ndio Chama/ Miquisone wao.
 
Lakini si tayarii tulishamsajili beki kitasa mzimbabwe Muduha ambaye nadhani ni mchezaji mzuri kwa nilivyomuona Chan
Kuna taarifa niliziona kuwa Simba wameachana na beki Peter Muduhwa kutokana na yeye kukosa nafasi kikosini
 
Kuna taarifa niliziona kuwa Simba wameachana na beki Peter Muduhwa kutokana na yeye kukosa nafasi kikosini
Hii mbona haijakaa sawa sasa nafasi angepata wapi na alikuja kwaajili ya klabu bingwa na hakuwahi kuaminika kutumika hata pale mmoja anapokosekana kati ya Wawa na Onyango ni Erasto Nyoni au Kennedy ndio walichukua nafasiii
 
Kama ni hivyo mkuu njaakalihatari hawa wamepiga mpunga kiulaini sana kwa kufanya mazoezi tu
 
Hii mbona haijakaa sawa sasa nafasi angepata wapi na alikuja kwaajili ya klabu bingwa na hakuwahi kuaminika kutumika hata pale mmoja anapokosekana kati ya Wawa na Onyango ni Erasto Nyoni au Kennedy ndio walichukua nafasiii
Hakuwa beki mbaya ila ilikuwa ngumu sana kuwatenganisha hawa viumbe.

Defence ya Simba imetengenezwa kumzunguka Paschal Wawa ndiyo maana panga pangua Wawa anakuwepo kwenye kikosi cha kwanza kutokana na uwezo wake wa kuamua timu ijenge vipi mashambulizi kuanzia nyuma.

Kwa form ya Onyango na Kennedy Juma msimu huu Peter Muduhwa alihitaji juhudi sana kuvunja hiyo bond na kupata nafasi.

Nyoni ni kama ameshaondoka rasmi kwenye eneo la ulinzi sasa anaanza kucheza kiungo kutokana na uzoefu na utulivu wake kwenye uchezaji.

Kama Peter Muduhwa angeweza kucheza pembeni namba angepata kwa sababu pale Simba eneo pekee lisilo na ushindani mkubwa sana ni fullbacks.
 
Inaonyesha nyie simba Yanga inawanyima usingizi kila uchao....mlikonda kwa b Morrison na Sasa mate yanawavuja kwa Saidor !
Mmeshaona kua timu yenu bila miquisone hamna kitu macho yanaanza kuwatoka kana bulb

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Simba SC ikimsajili nitaidharau sana kwani hakuna Mchezaji hapo na ana Ego ile ya Kifaransa hivyo atawaharibu Wachezaji wetu na hata Utaratibu wetu.
 
Ila hili la.kuwalambisha wachezaji mayai viza Yanga mumevuka mipaka ya uchawi na ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…