Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.

Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
Sarpong....... 😀
 
Unaweza kumlingasha Mugalu na lile tutusa lenu Sarpong?
 
Wakutoa wachezaji ni nan!!? Wewe wa matopeni fc mkuu!!? Timu yako yote sioni mchezaji anayestahili kucheza robo fainali akiwa na uzi uliandikwa visit Tanzania
Subiri Mei 8, uone tutakavyo kula hiyo biriani mtakayo tupikia.
 
Mrundi atawapanda kichwani utopolo na hamna cha kumfanya na mtamuomba msamaha kama kwa Morrison.

Saido ni zaidi ya utopolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mrundi atawapanda kichwani utopolo na hamna cha kumfanya na mtamuomba msamaha kama kwa Morrison.

Saido ni zaidi ya utopolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ningekuwa mimi ndiye Msolla, ningemtimulia mbali huko pamoja na yule mwenzake Fiston.
 
Ningekuwa mimi ndiye Msolla, ningemtimulia mbali huko pamoja na yule mwenzake Fiston.
🤣🤣🤣🤣 yani huyu mrundi watamuomba hadi msamaha ndo matatizo ya timu kuwa omba omba ingekuwa na pesa yule angesugua bench hadi akili imkae sawa.
 
watu mnakaa mnahangaika na Warudi, if he wants to leave let him go, even before his arrival Yanga was there winning cups
 
Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido.

Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
Kama Simba wanataka kumsajili Ntibazonkiza wamepotea sana.

Kiwango chake hakimfikii mchezaji yoyote wa simba wanaocheza eneo lake, Saido hawezi kumuweka bench hata Miraji Athman Sheva hawezi kumweka benchi hata Cyprin Kipenye au Abdullazack Mohamed.

Kama anasajiliwa kuibomoa Yanga hata penyewe ni matumizi mabaya ya pesa kwani Saido ni injury prone na hana future kwenye kikosi cha Yanga.

Simba hatuna mapungufu eneo la attacking midfield tuna kila aina ya wachezaji wanaotupa dimension tofauti uwanjani.

Simba tunapaswa kujiandaa na kuzeeka kwa Wawa na Nyoni pendekezo langu nafasi ya Wawa.
1. Captain Solomon Banga wa Cotton Sports
2. Adrian Chama wa ZESCO United.
3. Timothy Awany sasa hivi yuko Uturuki alikuwa anacheza KCCA ya Uganda.
4. Mohamed Quattara wa Al Hilal ya Sudan.

Mabeki wote hao wanauzoefu mkubwa na ukiondoa Timothy Awany wengine wote ni good ballers hasa Adrian Chama
Captain Solomon Banga ana speed, mrefu kuliko Wawa na anafunga sana kwenye CHAN alifunga goli tatu na zote kwa set pieces
 
Hii account sijawahi ona amepost kitu tangu ajiunge na Yanga labda kama una screen shot za account hii kabla hajafuta hizo picha utudhihirishie hili...tupo,tulikuwepo na tutaendelea kuwepo kufuatilia mambo we bboyyya
 
Mzee tena! Tunataka tuwape na yule mwenzake Fiston, na pia tutawapa kwa mkopo Sarpong ili awasaidie msimu ujao. Maana yule Mugalu wenu hata akiachiwa goli peke yake, bado anakosa.

Boko na Kagere, mnafahamu wenyewe umri umewatupa kabisa!!
SARPONG, FISTON na NCHIMBI wana magoli mangapi kwa Pamoja?
 
Back
Top Bottom