F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoo kamati ndo itakaa na kuamua kwa vigezo ambavyo wako wataona vinafaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoo kamati ndo itakaa na kuamua kwa vigezo ambavyo wako wataona vinafaa.
Hata sioni mie.
Unatumia nguvu kubwa sana, mbona husemi idadi ya penati? Au kwani kanuni au taratibu zikoje? Jambo lenye uhalisia mara zote linajitosheleza, ukiona unatumia nguvu kuaminisha/kushawishi watu basi jua kuna walakini.Kwann Ntibazonkiza anastahili ufungaji bora baada ya kufungana sawa na Mayele? Hizi ni sababu ambazo Bodi ya Ligi inapaswa kuzizingatia.
1.Saido alikuwa Geita Gold, mzunguko wa pili amehamia Simba, hivyo kujiunga na timu mzunguko wa pili na kisha ukafunga mabao 13 katika timu mpya ni dhahiri anastahili ufungaji bora.Mayele amecheza Yanga mwanzo mwisho.
2.Saido ameondoka na hatrick mara 2 ukilinganisha na Mayele.
3.Saido ana assists 12 Mayele 4
4.Saido ni kiungo mshambuliaji wakati Mayele ni pure striker lakini kiungo mshambuliaji kafunga mabao sawa na real striker.
5.Saido kacheza mechi chache ukilinganisha na Mayele.
6.Saido amefunga mabao 5 mechi moja, Mayele hajawahi kufikia rekodi hiyo.
7.Saido amefanya maajabu hayo dakika za mwisho na hivyo kuibua hisia kali had Yanga wakaamua kumsafirisha Mayele kwa ajili ya mechi ya mwisho.
Wale wanaobisha kwa facts, waje waniprove kwa kuweka vigezo vyao kwann Mayele apewe badala ya Saido.Napokea maoni.
Sioniiii bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651809
Toa mfuko usoni usome ubao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoo kamati ndo itakaa na kuamua kwa vigezo ambavyo wako wataona vinafaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee weeView attachment 2651816
Kamati imeamua.