Saido Ntibazonkiza amemzidi Mayele kwa vigezo vya ufungaji bora, tuache siasa

Sasa jaman maele aondoke bongo bila kiatu,acheni uonezi muoneeni huruma mumpe,anasema hana goli la penati,akati alishawahi kosa tuta,sasa kama angepata lile tuta sjui angesemaje.
 
Unatumia nguvu kubwa sana, mbona husemi idadi ya penati? Au kwani kanuni au taratibu zikoje? Jambo lenye uhalisia mara zote linajitosheleza, ukiona unatumia nguvu kuaminisha/kushawishi watu basi jua kuna walakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…