Mkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lakokuwa na Hofu ni kawaida mfano Hofu ya Mungu tunasema ni normal lakini Woga wa Mungu ni abnormal
Machale huambatana au kubeba tahadhari katika tendo au uamuzi na sio uoga au kuogopa
Wasiwasi soma nimeelezea vizuri ktk tafsiri na mifano yake ila unapoendelea ndio huzaa woga
ni misamiati inayoingiliana lakini ni tofauti
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
ipo link hapo juu itakuunganisha usome sehemu ya pili....karibuMkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lako
Daah mkuu hyo hali ata Mimi hunitokea na huwa na jiuliza wapi huu uoga na hofu hutokea...? Sipati jbu kabsaMkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lako