Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

Ni kweli..asikwambie mtu kuna mtu kajaliwa kila kitu..Mungu ni Mungu tuu akiamua kumimina baraka zake anaamua haswa!

Mpk mtu anajiuliza hivi huyu mtu kakosa nini
 
Hivi mwanamume hasa unanzaje kuanza kujitathmini kuhusu "mvuto wa mapenzi" yani uvutie mapenzi shuwaini kabisa nyie...!
Basi Biblia yenyewe nao ni wapuuzi?

Mbona ilimtaja Yusuph..jamaa kaleta hoja ya kisaikolojia ilivyo.

Wewe hujapinga kwa hoja..matokeo yake unapoyoma tuu humu.
 
Kwani ushazeeka mara hii? πŸ˜€πŸ˜€
Boss vipi zile picha za suburbs ulikuwa unakuja kuwatambia watu humu zilete tena bana.. Tumezimiss sanaa..

Lakini unakumbuka kumtumia mazeri (cheupe) hata pesa ya nyama? IST ni million 12 tu showroom jitahidi umbadilishie gari sio gari ya marehemu mzee spana mkononi mpaka leo bimkubwa anajibana huko.. We si unamiliki billion 9 kwa Account huko majuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alafu pale mtaani kwenu tu ndo pamebaki na Bati za Lowassa. Fumua kule juu weka kigae cha Alaf, piga PVC kunguru wasinyee cealing maana imeshaoza. Paka rangi ile nyumba, kale kageti katoe weka geti lenye hadhi na wewe mmiliki wa billion 9..

Alafu ukirudigi bongo usikimbie majukumu ya nyumbani unaacha wanapika dagaa wewe unaenda shindia chipsi mayai na kuku pale kibanda umiza kwa mpemba. Acha uchoyo, hizi billion 9 unazomiliki mbadilishie Maza ako maisha pale home..
 
Jf bado wana kazi kubwa sana ya kuboresha huduma yao.
 
Lipia tangazo mkuu
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%,
Umepatia kwa asilimia zote..ndo maisha ninayopitia toka nikiwa mdogo mpaka leo niko mkubwa...yaani mdada anakutega anachoka anakuambia ukweli,ukikataa anakulilia mpaka basi...mara mwingine akuambie nataka unizalishe tu nitalea mwenyewe...fb na insta meseji zinajaa za salamu na kuomba namba...
 
Kuna watu watabisha,ukiwa handsome utajua tu...binafsi nayapitia haya wala sikupingi...yaani ukiamua unaweza kuwa na wanawake saba wapya kwa wiki...yaani mimi nimekua muoga yaani sina mazoea na wanawake tena maana nikizoeana nao tu wanataka mahusiano...bahati mbaya niko selective sana so mara nyingi nareject na hakuna watu wanachukia kukataliwa kama wanawake asiee...uhandsome ni adhabu
 
Hata miandiko yao tu inaonyesha watoto sio rizki hawa bwashe usipoteze wino wako kubishana na mabwabwa maana haingi akili midume kuanza kujigamba mvuto na kuvutia.
 
umeongea ukweli ambao nimekuwa nikiujua miaka mingi sana. vijana wengi wanaobahatika kuzaliwa na sura nzuri, wanadhani hapo ndo kupatia maisha na kusahau kutafuta real life
 
Tumeni picha sasa km kweli mnafanana na Kenny latmore
FisadiKuu anzisha mada uzi wako maana mawe yako diuuh.
 
Kuto kuamini kwako haimaanishi kwamba hawapo
 
Hii Vita itakua imeanzia mbali
 
Hii Vita itakua imeanzia mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…