Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

Kwa kuwa huu uzi unaongelea sana saikolojia,bahati mbaya nimejikuta mwana saikolojia kuamini wewe ni BWABWA [emoji817].
Kwahiyo ukiamini? What's next? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheni kukatisha watu tamaa bana ,mahendsome wapo na walikuwekea Zama na Zama ,Mungu aliumba vijana wazuri na wenye akili,nguvu,busara uongozi maarifa ,warriors,na kila aina ya sifa ambayo mwanaume anastahili kuwa nayo.
King David alikua Handsome,Josefu alietaka kubakwa na mke wa potifa alikua Handsome na wengine kadhaa.na wote hawa walikua Ni wanume halisi.
Uzuri wa Mwanaume Ni kazi ya uumbaji wa Mungu.
 
Ushoga sio suala gumu kwa muhusika aliye katika hisia za kweli juu ya hili, mdau yeyote mwenye hisia za kweli na uelewa mpana ndani ya ushoga lazima ajue na atambue mdau yeyote aliyepo ndani ya mlengo wa mapenzi haya kwa kumtazama tu tena kwa kujua yupo ktk nafasi ipi.

Top real mwenye hisia za kweli na uelewa mpana juu ya ushoga, anakua anamjua mdau yeyote pale amuonapo kuwa ni bottom, hata km ikiwa ni sehemu tofauti na maudhui au mazingira rafiki ya ushoga, hapa namaanisha pindi amuonapo mdau anajua huyu ni bottom hata km huyo mtu haoneshi au hana dalili za kuonesha hilo ktk macho ya wanao tazama,

Hapo kwenye kumfuata mtu asiekuwa mdau, mara nyingi hii hufanywa na wale wavamiaji wa mapenzi haya, kwani huwa hawana hisia za kweli wala uelewa wowote juu ya mapenzi haya.

Bottom kumfuata top ni rahisi sana, ila sio kihivyo, na mara nyingi hufanywa na wale ambao kwa namna 1 au nyingine kuna sehemu huwa hawako sawa ndani ya nafasi yao binafsi ktk tasnia ya mapenzi haya, pia mazingira huwa yanachangia sana maan wengi wao japo sio wote bottoms wanapendaa kujumika ktk mikusanyiko mbali mbali hasa ile ya furaha, (sherehe, tafrija, harusi nk?), pale ndipo wao hujiona wako huru na kufanya vile wajisikiavyo, ndo hapa utakuta wanaanza kuonesha hisia zao kwa mtu anayemkubali hata km ndo mara ya kwanza kumuona.

Kupitia bottom wako uliyeanza nae kudate kua yeye ndiye aliyekufata kukushawishi uwe nae, ni sawa ikawa hivyo ila usidhani ni wote huwa wanafanya hivyo, na nikuambie wazi kua huyo sio bottom anayejitambua wala hana ufahamu wake binafsi juu ya maisha yake ktk ushoga, bottoms yeyote smart na anayejitambua hawezi kuanza kumtongoza mtu ili awe mpenzi wake, hivi anajionaje? anajichukuliaje? na atawafuata wangapi kwa muktadha huo? . Hawa ndio wale mara nyingi ni viruka njia na vidampa huwa wanakua na yeyote yule ili hali kuridhisha hisia za miili yao, pasipo kujari utu, thamani na usafi wa miili yao. Na mwsho wake huwa wanaishia pabaya.

Kuhusu mitandao, hapa ndipo wahusika wengi huwa wako huru na wana kutana na wenzao ktk masuala mbali mbali juu ya mapenzi haya, ili hali napo hali sio nzuri hasa upande wa mahusiano.

Ushoga sio suala gumu kwa Africa, ni vile tyuuh wahusika wenyewe wameshindwa kuonesha msimamo wao km tasnia pana inayojitosheleza haswaaaah, japo baadhi ya vifungu vya sheria vinaibeba kindaki ndaki na vilivyo tasnia hii pana ulimwenguni, japo inapigwa vita sana.

..................
 
weka picha yako tukuone, mchawi picha tu mkuu
 
Ama kweli dunia tambara bovu, sasa sisi wenye sura mbovu tusemeje!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi huyo shoga kuna sehemu hayupo vizuri, yaan anakwama wapi had kumsumbua mdogo wako.
Kama husumbui watu ni wewe, wenzio wengi wasumbufu
 

mkuu upo mkoa gani ? aisee mashoga wenye hela wapo wengi daslama last week nipo on foot narud home kasimamisha gari kaniomba niingie kwenye gari akanyonye mboo yan bila aibu, aisee acha kabisaa..
 
If any of this could be true, kusingekuwa na haja ya kuwa na blogs za kutafutana na telegram channels

Maelezo yako yote hayazingatii mazingira halisi ya kiafrika. Watu wengi hupenda kushiriki mapenzi ya jinsia moja, ila hawako huru kushiriki and thus watu hujificha

Si ajabu unaona Top akitafuta mtu anasema kabisa nataka ASIYEJIONESHA kwa sababu sisi ni sehemu ya jamii, no matter how you do it lakini ni muhimu kuweka utu wako sawa kwa jamii

Hence gays amba hutngzwa ni wale amba hawajali kuhusu jamii, wanaonesha dhahiri kuwa ni gays, no matter how good they are, huwa wanatongozwa kuliwa na kuumizwa kwa sababu ya hali ya nchi ilivyo

Ukijua kuwa Bado jamii ni Homophobic hautataka kulazimisha mawazo ya Bottom kusubiri kutongozwa bali kutafuta atakayemfaa. Tumeshuhudia bottoms wakipigwa kwa kosa dogo tu kisa anajionesha kuwa ni gay, hata baadhi ya huduma wamekuwa wakinyanyapaliwa

Hence! I always teach, kujua matakwa ya jamii, na kufanya starehe yako isiwe chanzo cha kutengwa kwako, ukaumia kwa upweke. Gays ambao hujionesha hukosa heshima dhahiri na Top serious huogopa kuwa nae kwa kuwa inachafua image
 
😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Karma pita huku
 
Tafuta huu uzi ndo utaelewa condition nzima ilivo .mkuu ila tambua sihamasishi ushoga au watu wafanye ushoga hapana mimi naelezea Fact za saikolojia kama nilivyo soma .sijui umenielewa

View attachment 1748119
Walio wengi wanazaliwa wakiwa wanaume marijali na wazima kabisa, tatizo linaanzia ktk makuzi, makundi, malezi na mazingira vyote hivi vikiwa vinaratibiwa au kuongozwa na influence au msukumo wa kusababishiwa au kujisababishia mwenyewe.

Tatizo lingine kubwa kuliko yote ni kwamba mtoto wa kiume ukishakubali kuliwa na dume jenzako, jua tiyari tumekupoteza kwenye kundi la wanaume na muda wowote ule baada ya kuliwa lazma kiasilia mwili unareact na kuanza kuwa na sifa za kike na kuleta taharuki kwa watu kushindwa kutambua jinsia yako.....

Hii ni kwasababu sperms za mwanaume/ kiume zina vichocheo/ kemikali zenye nguvu kubwa mno zinazochochea au kurutubisha hormones za kike mfano: kufanya sauti kuwa nyembamba zaidi, kufanya ngozi kulainika na kurutubisha baadhi ya maungo/maumbile ya mwanamke.

Sperms za kiume zinapogusa michubuko, lazma vichocheo au kemikali zake zinapenya kwenye damu hata kama kusipokuwa na michubuko lazma vichocheo/kemikali za sperms zitapenya kwenye utumbo na kuingia kwenye damu maana zinavimelea/vichocheo na kemikali zenye uwezo mkubwa mno wa kupenya sehemu laini.

Sasa sperms za kiume zikishaingia kwenye damu ya mwanaume anayeliwa lazma kiasilia zianze kufanya kazi zinazostahili na zilizoumbiwa kuzifanya. Ikumbukwe zenyewe zimeumbiwa kuchochea hormones za kike na mwili wa mwanamke kama vile; kuremba sauti(sauti nyembamba), ngozi kuwa laini na sifa zingine za kike.

Ndo maana mashoga wengi wanatabia na sifa za kike, utakuta mtoto wa kiume anaongea kama demu, anajibinulisha mdomo, mara arembue, mara aongee kwa kubinua vidole vya viganjani (wanapenda sana kusuta), saa nyingine hata sauti zao zinakuwa nyembamba kama demu hata tembea zao wengine wanajibinua kama wanawake, mwili...........

hubadilika na tabia hubadilika na saa ingine hupelekea hata watu kushindwa kutambua jinsia ya muhusika. Ukiona hivyo jua sperms zimeshaingia damuni mwa muhusika, na muhusika anayeliwa kuacha tabia hii inakuwa ngumu mno tena sana maana tiyari ipo damuni, hata akiacha ni mbwembwe tu, hajapata wa kumtafuna.

Sperms ni sumu kali sana, haitakiwi kabisa mwanaume kukubali kuingiliwa tu na kuliwa kirahisi, iwapo ukikubali wee jua tiyari wee ni mwanamke na tushakupoteza kwenye kundi la wanaume. Ndo maana mtoto/mtu mzima anapolawitiwa huwaishwa hospotalini na huduma ya kwanza anayopewa ni kupigwa bomba na kutolewa sperms zote nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…