Saikolojia: Watanzania wengi ni Waoga kwa utafutaji Maisha.

Saikolojia: Watanzania wengi ni Waoga kwa utafutaji Maisha.

watu wengi wanaosambaa sana nchi zingine na hata mikoa mingine huwa population yao inakuwa kubwa mno na kunakuwa na tatizo kubwa linalowafanya wasambae hivyo.mfano wachaga wana tatizo kubwa la ukosefu wa ardhi kule kilimanjaro hivyo utakuta ndio wanaongoza tanzania kusambaa mikoa yote.

Ukienda kenya,ghana,nigeria na china zina idadi kubwa ya watu na matatizo makubwa ya ukosefu wa ardhi, ajira na makazi na hivyo kuwafanya wawe kazi yao kuzunguka kutafuta maisha nchi zingine.nchi ikiwa na uhakika wa maisha hata wa kiwango kidogo kwa mahitaji yale makubwa matatu ya chakula,malazi na mavazi utakuta watu si wahamaji sana kuzurura nchi za watu sababu walipo japo wanapata kidogo lakini wanaona chatosha kuendelea na maisha.nchi nyingi tu zina watu wachache sana nje na watu wake wako vizuri kwa viwango vyao sababu satisfaction is subjective kwa kila mtu. Si kila mtu unachoona wewe kizuri wakihitaji mtu mwingine naye aona akihitaji. Waweza ona kwenda nje ya nchi ni kuukata mwingine anaona ujinga tu wala hawazi na hana mpango wa kwenda nje ya nchi hata umpe tiketi ya bure na umlipie kila kitu.ameridhika alipo apatacho na aishivyo.

Kusambaa sana nchi za watu hakumaanishi kuwa mtu atokako kuko vizuri au asiyesambaa basi hana akili na hajui kutafuta fursa nchi zingine.wahenga wanasema ukitukana mke wa mtu haifanyi mkeo awe mzuri kama ni mbaya.

thats bravo roger
 
Nionavyo mimi, watanzania wengi ni waoga wa utafutaji maisha. Wengi wanapenda maisha ya dezo...kukaa tu na kusubiri kufanyiwa michongo au maisha ya gwelele. Wanapenda vitu vikubwa na masifa ya kijinga wakati uwezo wa kutafuta maisha hawana.

Ndio maana hata leo tunakosa wagunduzi au watu wenye mawazo chanya kwa ajili ya kudumisha taifa letu.

#RiskTaker ni mtu wa namna gani??

Ukiangalia kipindi cha #MaishaPlus - utagundua: laiti kama watanzania tungekua tunaweza kuishi maisha kama hayo toka awali....nchi yetu ingekua na maendeleo makubwa.

Kwani watanzania wengi wangesambaa nchi mbalimbali kama walivyo nchi za wenzetu mfano WAGHANA,WA NIGERIA, WACHINA etc.

Si tukalia wizi tu na majungu!!!!

Nenda kariakoo uone watanzania "walivyobweteka na walivyo wavivu" kwa maana inaonekana wewe ni hardworker sanaa aisee!
 
East African Eagle:
1 Timothy 6:6-8 ESV Now there is great gain
in godliness with
contentment, for we
brought nothing into the
world, and we cannot
take anything out of the
world. But if we have
food and clothing, with
these we will be content.
 
Nionavyo mimi, watanzania wengi ni waoga wa utafutaji maisha. Wengi wanapenda maisha ya dezo...kukaa tu na kusubiri kufanyiwa michongo au maisha ya gwelele. Wanapenda vitu vikubwa na masifa ya kijinga wakati uwezo wa kutafuta maisha hawana.

Ndio maana hata leo tunakosa wagunduzi au watu wenye mawazo chanya kwa ajili ya kudumisha taifa letu.

#RiskTaker ni mtu wa namna gani??

Ukiangalia kipindi cha #MaishaPlus - utagundua: laiti kama watanzania tungekua tunaweza kuishi maisha kama hayo toka awali....nchi yetu ingekua na maendeleo makubwa.

Kwani watanzania wengi wangesambaa nchi mbalimbali kama walivyo nchi za wenzetu mfano WAGHANA,WA NIGERIA, WACHINA etc.

Si tukalia wizi tu na majungu!!!!

Mzee ile safar ya Ghana vp ulifika?
 
Jamani tuache kudanganyana,shida ni kwamba shule zetu zinatuandaa kuhangaika ndani ya nchi, kusafir ni KIPAJI..do ,,Teh
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa.. Kwa mtu alietembea nchi nyingine kidogo ataelewa
 
Back
Top Bottom