SAUSTINE CHARLES
JF-Expert Member
- Nov 23, 2014
- 364
- 335
Mpaka sasa bado ni changamoto iyo iyo?OK huo utaratibu ulizua mgogoro sana hapo Saut kwa maana wasabato waliomba kupatiwa muda wa kuingia ibadani kila jumamosi, na kila jumamosi unakuta tunavipindi lakini VC aliwakatalia kabisa lakini pia Saut UE huwa inafanyika hadi jumamosi aliwakatalia swala la kupatiwa muda wa jumamosi kusali na akawaita M13 na kuwapa maelekezo asiyetaka kufanya mitihani jumamosi atafute ustaarabu mwingine wa chuo, walikuwa ktk changamoto kubwa sana ila iliwalazimu wafanye mitihani tuu.