Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Mpaka sasa bado ni changamoto iyo iyo?
 
Hizi fursa hapa chini zinaweza kukurahisishia Maisha yako ya Chuo. Boom likawa kama Nyongeza tu. Haijalishi wewe ni wa SAUTI, CBE, IFM, MZUMBE,IJA, MAKUMIRA, TEKU, MWENGE, SUA, UDSM, TIA, etc ......

www.yenutanzania.co.tz

www.kiiafrica.co.tz

Sio za kukosa. Jisajili, na uwajulishe wanafunzi wenzio.
No recruit, no selling of products. Ukishajisajili, endelea kukaza boot kwenye kitabu.

The rest, will be history.





 
Ni Fursa nzuri sana mkuu safi sanaaa
 
Welcome all [emoji115] [emoji115]
 
Mzee Safari bado yupo? ila kwa kipindi hiki naona kama FAWASCO imepungua sana utamu...si kama enzi za Fr C. Kitima
 
Mzee Safari bado yupo? ila kwa kipindi hiki naona kama FAWASCO imepungua sana utamu...si kama enzi za Fr C. Kitima
Daah kweli mkuu mambo yamebadirika sanaaa sio kama ilivyokuwa FAWASCO kipindi kile, Mzee safari nafkiri atakuwepo ila sijamuona kwa muda flani hivi, wapi hiyo?
 
Daah kweli mkuu mambo yamebadirika sanaaa sio kama ilivyokuwa FAWASCO kipindi kile, Mzee safari nafkiri atakuwepo ila sijamuona kwa muda flani hivi, wapi hiyo?
Nipo kwa wezi flani huku mexico city tunapiga kitabu, so unajua Sikh hizi uatakiwa uwe na PhD ndo uteuliwe
 
Nimefurahi sana kuona uzi huu nilimaliza SAUT mwaka 2013 Procurement,jamani hiki chuo kilinifunza mengi na hivi nilikua sina mkopo,niliweza kutafuta pesa aisee nikaishi fresh pasipo kua na shaka, nilifanikiwa kuekeza kakiwanja changu huko, nilianza kuishi hosteli za kijiweni nikaja kuhamia nyegezi corner,ila tu sitakaa nisahau nilipoenda kusoma kule chini kwenye mapori ya chuo karibia na hostel za wasichana mweeh nilikua nimepaka lip balm ikamvutia nyuki akaning'ata yalaa ilikua tunaingia kwenye mtihani domo lilivutika hilo kama nimepigwa ngumi hahaha, pia niliwahi kukurupushwa na kenge karibia na zile hostel za cha arusha lol kuzurura hakujawahi kumwacha mtu salama.

Napenda kuwashauri wanafunzi wanaojiunga hapo wajitahidi kusoma kwa bidii maana hicho chuo hakihitaji maskhara unaweza ukajikuta unashindwa kugraduate kisa French! lol.Timizeni wajibu mtatusua nategemea kuja Mwanza Dec hii nimemiss watu wangu wa nguvu,hakika nitafika Jembe na Malimbe.
 
Nipo kwa wezi flani huku mexico city tunapiga kitabu, so unajua Sikh hizi uatakiwa uwe na PhD ndo uteuliwe
Hahahah we jamaa safi sana Mexico mwaka wa ngapi huu? Kwa hiyo unakamua PhD?
 
Daaaaah umeandika vitu vingi sana navyakuvutia kuhusu Saut na life time yako pale kwa hongera sana kwa kumaliza salama na pia pole kwa kung'atwa na nyuki siku ya paper hope mtihani uliukabili ipasavyoo, hostel zingine zilikuwa hatarishi sana kwa kujisomea ukizingatia sehemu zilipokuwepo zilikuwa ktk mazingira ya hivyo sn, hongera pia kwa kuwekeza kiwanja, vipi ushajenga lakini? Pamoja sana mkuu Malimbe sio sehemu yakupasahau hapo.
 
Asante,mtihani niliufanya vizuri tu na nilifaulu hahah, Kile kiwanja sijafanikiwa kukijenga ila nimekizungushia uzio wa michongoma ipo safe sana.Sure kwa kweli Malimbe hapawezi kusahaulika sababu maisha ninayoishi ni kutokana na taaluma na ujuzi mbalimbali nilioupata kipindi chote cha miaka mitatu.Najivunia kwakweli SAUT oyeeee!
 
Hongera sana Gertrude Ndibalema kwa kupata Masters of Mass Communication St Augustine University Of Tanzania 2017 God bless u
 
Hongera danaaaa mdau nafurahi kukikubali chuo hiki, unajua mimi apa kuna kipindi huwa nawaza sana yani maisha ya zamani chuoni yananikumbushaga mengi sanaa aisee lakini ndio ivyo wakati ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…