Nimesoma hiyo course (2011/14),komaa dogo... Hivi madam Mpuya yupo kweli???Nimechaguliwa hapo saut public relation and marketing
Mkuu ulikua A au B, me nlikua Amwaka kama wako, Graduu mgeni rasmi Mark Mwandosya
PR yetu ndo ilivunja historia, nusu fainali ya fawasco tukiwa PR 2 tukicheza LLB 3 tukaenda uwanjani na Green Star Coach Yutong mpya kabisa km tuko London vile ila baada ya mechi kilichotokea Mungu ndo anajuaPR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
Vipi bado kuna watu wanakaa nganza, kijiweni na bondeni au hakuna wanachuo huko siku hizi???Kume change sanaaaaaa mkuu
Muulize vipi na Duwe yupo???Nimesoma hiyo course (2011/14),komaa dogo... Hivi madam Mpuya yupo kweli???
Enzi hizo kwa waliomaliza 2008 kushuka chini dafur kulikua na historia mbaya sana ya mitungo,usithubutu kubuy dem ukaja nae dafur huyo mwanamke atajutaDaaah hii habari kidogo pevu, hebu tupe undani ilikuwaje mkuu
AMkuu ulikua A au B, me nlikua A
Oooh basii mkuu itakua tunasomana sana
Ndio changamoto tuu mkuuHiki ni chuo ambacho simshauri jamaa yeyote au ndugu yangu asome. Labda kama sasa wameboresha baadhi ya vitu. Bado kidogo nisigraduate kisa final paper yangu ya economics II haijaonekana. Nilijaza sana complain form bila tatizo langu kushughulikiwa nashukuru nilipata akili ya ku repeat kozi nzima nikamwambia HOD wangu akakubali then nikajaza form ya kurepeat bila hivyo nisingegraduate. Chuo kina makozi ya ajabu ambayo hayana umuhimu halafu wanayakomalia kozi kama kifaransa ukizingua huvai joho.
Hiki ni chuo ambacho simshauri jamaa yeyote au ndugu yangu asome. Labda kama sasa wameboresha baadhi ya vitu. Bado kidogo nisigraduate kisa final paper yangu ya economics II haijaonekana. Nilijaza sana complain form bila tatizo langu kushughulikiwa nashukuru nilipata akili ya ku repeat kozi nzima nikamwambia HOD wangu akakubali then nikajaza form ya kurepeat bila hivyo nisingegraduate. Chuo kina makozi ya ajabu ambayo hayana umuhimu halafu wanayakomalia kozi kama kifaransa ukizingua huvai joho.
Kweli kabisa mkuu
Mkuu kwani ulipo omba hukujua kozi zinaendana na program yako? Nilifikiri kifaransa kinakuongezea ujiko kama unataka kuwa wa kimataifa zaidi, kwani nasikia lugha ni tatizo la watanzania. Wenzetu wa francophone na lusophone africa hupenda kupiga english na wengine hata kiswahili ili watanue wigo wao wa kazi.
M10 ila now imechange wameweka vya kisasaHivi ile ilikuwaga na viti vya mbao ndio ilikuwa M ngapi vile?