Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

PR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
PR yetu ndo ilivunja historia, nusu fainali ya fawasco tukiwa PR 2 tukicheza LLB 3 tukaenda uwanjani na Green Star Coach Yutong mpya kabisa km tuko London vile ila baada ya mechi kilichotokea Mungu ndo anajua
 
Daaah hii habari kidogo pevu, hebu tupe undani ilikuwaje mkuu
Enzi hizo kwa waliomaliza 2008 kushuka chini dafur kulikua na historia mbaya sana ya mitungo,usithubutu kubuy dem ukaja nae dafur huyo mwanamke atajuta
 
Sauti ni sawa na TEKU tu au zion.
Hii hapa list mkuu
119c3ef477e71990c3e1185ffbe167dd.jpg
 
Hiki ni chuo ambacho simshauri jamaa yeyote au ndugu yangu asome. Labda kama sasa wameboresha baadhi ya vitu. Bado kidogo nisigraduate kisa final paper yangu ya economics II haijaonekana. Nilijaza sana complain form bila tatizo langu kushughulikiwa nashukuru nilipata akili ya ku repeat kozi nzima nikamwambia HOD wangu akakubali then nikajaza form ya kurepeat bila hivyo nisingegraduate. Chuo kina makozi ya ajabu ambayo hayana umuhimu halafu wanayakomalia kozi kama kifaransa ukizingua huvai joho.
 
Ndio changamoto tuu mkuu
 
Mkuu kwani ulipo omba hukujua kozi zinaendana na program yako? Nilifikiri kifaransa kinakuongezea ujiko kama unataka kuwa wa kimataifa zaidi, kwani nasikia lugha ni tatizo la watanzania. Wenzetu wa francophone na lusophone africa hupenda kupiga english na wengine hata kiswahili ili watanue wigo wao wa kazi.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Wadau Saut imebadirika sana imekuwa poa zaidi ya tulivyoiacha
 
Back
Top Bottom