Sana tena hayo maeneo hadi kule M 1 group letu tulikuwa tunapenda sana hayo maeneoNakumbuka tulikuwa na group nyingi za discussion nyuma ya madarasa ya M4 na M3 hapo Msosi nyamalangoo au nilikuwa napenda kula quick Choice pale
Kautaratibu kamekuwa kagumu kidogo etiii? Zamani ulilikuwa mwendo wa SARIS na password yako umemaliza, password ilikuwa namba yako reg no. Unaona matokeo yako yoteeSAUT ya leo mitihani ya Mwezi July matokeo hupati hadi October hii. Huwezi endelea na level nyingine (Masters) chuo kingine kwani matokeo hayajakamilika.
Siku hizi kuna SMIS na siyo SARIS
Heri yenu mliosoma zamani.
Nitafanya hivyo mkuuUje ufanye kupatembelea mkuu japo kidogoo
Karibu sana mkuu,uiwakilishe vyema SAUT huko ulipoSAUT nimepamiss sana those days nilipokuwa nasoma.....
Kwa sasa ni SMIS, kupitia hii unapata kila kitu. Utaratibu wa kubandika makaratasi (matangazo/ratiba n.k) umefutwa na system hii. Mawasiliano baina ya Chuo na wanachuo ni kupitia system hii. Foleni za kuulizia mada uhasibu pale hakuna tena; kila kitu ni smis. Kwa ujumla hii system imetulia sanaKautaratibu kamekuwa kagumu kidogo etiii? Zamani ulilikuwa mwendo wa SARIS na password yako umemaliza, password ilikuwa namba yako reg no. Unaona matokeo yako yotee
Dah...Nilisoma BASO mbwembwe......wewe ulisoma course gani?
Eduche wewe? ulimaliza mwaka gani?PR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
Mkuu darfuu imekuwa tamu sana sasaivi na mademu wapo shazi kupika ruksa mzee. Hahahaha mm mzee wa jamaicaHivi zile hostel za kule Darfull bado zipo??? Nimeishi pale darfull miaka yangu mitatu pindi nasoma Saut,nilikua chumba 210 next to my room alikua anaishi Bwana Moses Machali.... Kitima bado VC Saut?? Huyu jamaa ni mbabe hatari....
Kuna siku loan board walichelewa kulipa Schoo Fee, tukaenda kuongea na Kitima,tukamwambia Waziri wa Elimu kasema tufanya paper, serikali watalipa hela baadae, Jamaa alijibu kwa mkato hua naamulishwa na watu wawili tu, Papa na Kadinali Pengo, Mkitaka nimpigie hata Rais Kikwete muongee nae, Nimesema sitoi number hapa.....
Tukawa wapole kama sisimizi.... Bado kama lisaa limoja hivi kuanza paper....Jamaa ndo akaruhusu tupewe number....
Sasa wewe uko Malimbe, unachukua boda kwenda main campus kuchukua number,zen urudi malimbe kufanya paper....
Yaan huyo jamaa sitamusahau kabisa kwenye maisha yangu
Darful imekua hostel ya mademu?? Darfull tulikua tunaishi maisha ya tandale kabisa! Kuna Jamaa alikua anaitwa Ibra! Anakuja kwenye menu yako anaanza kula bila ya karibu! Mchizi alikua na life lakuunga unga sana! But chuo alimaliza now yupo Nmb ni boss mkoja hvMkuu darfuu imekuwa tamu sana sasaivi na mademu wapo shazi kupika ruksa mzee. Hahahaha mm mzee wa jamaica
Hahaha dah kweli nyie ndio mlikuwa mbwembwe originalDah...
Umenikumbusha mbaaali saana. Baso Mbwembe. Sisi ndio tulikuwa waasisi wa Baso 2006~2009 alumni.
Na tuliita Baso mbwembwe b'se by that time katika course zote Baso ndio tulikuwa tunakula bata saaaana.
Kwenye Fawasco sasa uwanjani tulikuwa tunaingia na mziki wetu burudani ya kutosha, coaster za mukesh kama kumi, huo msururu wa magari madogo usipime.
Sisi ndio tulianzisha Baso Foundation na mbwembwe zake zote. Kifupi maisha ya Baso pale SAUTI yaliwakimbiza sana watu wengine. Mbaya zaidi our HoD by that time Fr Msafiri alikuwa anapenda sifa na kuisifia Baso kila kona.
Ilifika mahali kwenye Fawasco kipindi hicho Fr kitima (VC) akasema mechi za Baso katika siku husika ziwe zinachezwa za mwisho manaake ilikuwa mechi zetu zikitangulia basi baada ya mechi tu kuisha tunaondoka na mziki na burudani zetu zote tunaenda Tj (pale nyegezi corner) kuendeleza bata la baso basi kama kuna mechi inafata uwanjani kunadorora manaake hakuna tena mziki wala burudani uwanja unapooza.Hahaha dah kweli nyie ndio mlikuwa mbwembwe original
Hebu ifafanue kidogo mkuu nami nipate uzoefu ni kupitia simu yako ya mkononi tuu?Kwa sasa ni SMIS, kupitia hii unapata kila kitu. Utaratibu wa kubandika makaratasi (matangazo/ratiba n.k) umefutwa na system hii. Mawasiliano baina ya Chuo na wanachuo ni kupitia system hii. Foleni za kuulizia mada uhasibu pale hakuna tena; kila kitu ni smis. Kwa ujumla hii system imetulia sana