Student Management Information System (SMIS) kupitia
https://smis.saut.ac.tz inapatikana hata kwa simu ya mkononi kwa waliosajiliwa tu. Huduma unazoweza kupata:-
1. Taarifa zako za kifedha/malipo/madai n.k
2. Taarifa za coursework na mchanganuo wake kama vile marks zaTests, QUIZ, assignments, Presentation n.k; kwa kila somo
3. Matokeo ya mitihani yote kama ilivyokuwa SARIS
4. Exam number/ID inaonekana kupitia SMIS baada ya kukidhi vigezo vya UE kwa kumaliza malipo ya ada.
5. Ratiba yoyote utaipata smis kadilli utakavyo; mfano ratiba ya Mwalimu mmoja mmoja, ratiba ya venue moja moja; ratiba za masomo mbalimbali, ratiba za mitihani mbalimbali na yote haya ni PDF downloadable
6. Unaweza tuma na/au kupokea sms kwa lecturer(s) kupitia smis
7. Matangazo mbalimbali yanayowahusu wanajumuia wa SAUT pekee yanapitia SMIS
Nipo na-screenshot baadhi ya mambo ujionee