Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Ushauri mzuri sn watampangia tu muda wa kwenda huko radio saut
 
Mixer mzee kule epa ndo kuna mademu alafu jengo lakati na jamaica nakule mortuary ndo masela
Duuuh sasa huko nikuvumiliana tu maana navyo jua mambo yetu.....
 
Ndio mkuu na zimekarabatiwa fresh sana kumejengwa canteen ya kisasa
Kwa hiyo hakuna kupandisha nyamalango tena au nyegezi kona or Nganza kwa mama muuza mkuu
 
Ile mechi mlienda ukerewe kuturoga kwanza mpira wetu ukapotea kabisa, hata jezi za wadhamini nafikiri walikuwa tigo mligoma kuvaa
 
Nimecheka sana, sijui kama Muduma bado yupo pale? Maana nakumbuka alimzingua dogo mmoja alikosea chumba cha mtihani akawa anayosha mkono ili atoke nje mduma anakataa, dogo ikabidi aanze kulia
Sub woofer namkumbuka vzr mduma Geography teacher
 
Aiseeeee! Mbona kipindi chetu hawakutupa offer hii?? Mademu kukaa nao karibu like that,kipindi chetu wangerudi kwao wote kina mama!
CC GENTMYCINE
Hata Mimi naliwaza hilo swala la mimba yaani daah
 
Ile mechi mlienda ukerewe kuturoga kwanza mpira wetu ukapotea kabisa, hata jezi za wadhamini nafikiri walikuwa tigo mligoma kuvaa
Walituroga hawa hawakuwa watu wazuri, kitima kaweka million 9 nakombe mezani kwanini wasiende kwa babu ukerewe
 
Walituroga hawa hawakuwa watu wazuri, kitima kaweka million 9 nakombe mezani kwanini wasiende kwa babu ukerewe
Nakumbuka kuna sista mmoja mvaa kilemba kabisa hadi alianguka baada ya mechi kuisha, hata kula, hatukula na kusoma prepo hatukwenda ilibidi tulale mapema tu, kule darfu kukapoa sana, duuuu
 
Tumepiga sana Lampard pale darfull,sasa kama mademu wameletwa hapo karibu,poleni sana vijana! Sasa mtakua mnaoga mara tatu kwa siku,utuli wakufa mtu,mavazi mnabadili Mara tatu kwa siku! Enzi zetu tulikua tunanukia marashi ya guchi tu,kidume naoga Mara moja tu kwa siku! Morning to morning
 
Hebu ifafanue kidogo mkuu nami nipate uzoefu ni kupitia simu yako ya mkononi tuu?
Student Management Information System (SMIS) kupitia https://smis.saut.ac.tz inapatikana hata kwa simu ya mkononi kwa waliosajiliwa tu. Huduma unazoweza kupata:-
1. Taarifa zako za kifedha/malipo/madai n.k
2. Taarifa za coursework na mchanganuo wake kama vile marks zaTests, QUIZ, assignments, Presentation n.k; kwa kila somo
3. Matokeo ya mitihani yote kama ilivyokuwa SARIS
4. Exam number/ID inaonekana kupitia SMIS baada ya kukidhi vigezo vya UE kwa kumaliza malipo ya ada.
5. Ratiba yoyote utaipata smis kadilli utakavyo; mfano ratiba ya Mwalimu mmoja mmoja, ratiba ya venue moja moja; ratiba za masomo mbalimbali, ratiba za mitihani mbalimbali na yote haya ni PDF downloadable
6. Unaweza tuma na/au kupokea sms kwa lecturer(s) kupitia smis
7. Matangazo mbalimbali yanayowahusu wanajumuia wa SAUT pekee yanapitia SMIS

Nipo na-screenshot baadhi ya mambo ujionee
 
Nakumbuka kuna sista mmoja mvaa kilemba kabisa hadi alianguka baada ya mechi kuisha, hata kula, hatukula na kusoma prepo hatukwenda ilibidi tulale mapema tu, kule darfu kukapoa sana, duuuu
Wa eduche au wa baso
 
Duuuh Darful ilikuwa ya wagumu sana enzi hizoo hahah
 
Ili nijisajili kupata password na user name nafanyaje mkuu
 
Ni kuwa mwanachuo wa SAUT kwa ngazi yoyote ile (Cert - Ph.D) kuanzia mwaka wa masomo 2015/2016 na kuendelea
Daah hapo nimekuelewa sasa yani hainihusu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…