Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

VC wa sasa SAUT ni Rev. Dr. Thadeus Mkamwa. Fursa za biashara kwa wanachuo wanaojua kutumia boom kwa busara zipo. Mfano stationeries, huduma za kifedha za mitandao ya simu e.g M-pesa et. al, bodaboda, migahawa, maduka just to mention but a few. Hostels ni za kutosha kulingana hela yako tu. Za ndani ni laki 3/ per year ila za nje ni kuanzia laki 4 na kuendelea mpaka za kifahari 1.5 M unazipata. Ugumu wa kusoma SAUT kwa uzoefu wangu ni kutokana na kuwa na course nyingi sana kila semester (french ni compulsory). Refreshment kuna beach za kutosha kama jembe, charcoal ribs, shafiq etc. Otherwise ni sehemu nzuri ya kusoma na kwa mtu makini unaweza kufaulu masomo vizuri na katika fursa za biashara pia.
Japhet92 yaani umeeleza vitu vya ukweli tupuu, yaani malimbe napamiss sana kwakweli, Nyamalango hahah
 
What! great idea, Kilichonivutiaga SAUT mwanza ni kusomea porini kule tulikuwa tunapaita M zero, yaani ukiingia humo unaenjoy natural vegetation, birds wanyama wadogo wadogo huku utereal unaingia taaaratibu kuurutubisha ubongo. Wow! what a memory!
Mkonongo saut pazuri aiseee, ukimaliza kusoma unaenda nyamalango kupata Msosi hahah
 
Nimesomea SAUT _Mwenge university college of education sasa hivi kinaitwa Mwenge Catholic university, nimemaliza mwaka 2014
Hongera kwa kuhitimu saut mkuu, upo wapi kwa sasa
 
Kama wewe ni Mwanafunzi njoo inbox nkupe fursa itakayo kufanya uishi Kama mfalme chuoni. Fursa itakayo kuwezesha na kukurahisishia Maisha yako hapo chuoni kiuchumi.

Uwe na smartphone tu.
Nijulishe na Mimi MKUU kuhusu hiyo fursa unaweza ni pm
 
Nijulishe na Mimi MKUU kuhusu hiyo fursa unaweza ni pm

Huo ni uvivu wa hali ya juu. Ndio tatizo letu, Tulio wengi sisi Watanzania.

Tumezoea kutafuniwa kila kitu.

Nimetoa maelekezo. Halafu bado mtu anataka mm ndio nimtafute.

Nimekosa imoji ya kucheka hapa kwenye Ipad yangu.
 
Ukifika malimbe jitahidi sana kumfahamu MAMA WHITE pale nyamalango....!! Utapata chakula cha bei NAFUU mno...!!
[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] mwanza
 
Uzi mzuri nadhani ukitumika vizuri utaleta faida kwa wana SAUT
Pongonyoso nikweli kabisa mkuu, ni jambo la kheri kuutumia vizuri na kuzidi kuwanufaisha wengi mkuu
 
Huo ni uvivu wa hali ya juu. Ndio tatizo letu, Tulio wengi sisi Watanzania.

Tumezoea kutafuniwa kila kitu.

Nimetoa maelekezo. Halafu bado mtu anataka mm ndio nimtafute.

Nimekosa imoji ya kucheka hapa kwenye Ipad yangu.
Hahaha mkuu sio kwa lengo baya, may be ukimstua itakuwa vyema Zaidi mkuu
 
Nyinyi watu yaani ni zero hadi ndondo cup hii nyamagana stadium point ni zero hahaha(joking)
 
Back
Top Bottom