Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Acha kabisa..... Sasa hivi wamemwagwa security CHUO kizima kwenye malango yote....kama hauja zingatia dressing code ,,,huingii kwa hall au haina ID.WAKO VIZURI KWA KWELI
Duuh hiyo imekaaje mkuu hebu nifafanulie
 
IMG_20171005_054219_772.jpg
hii nembo huwa inanikumbusha mbali sanaa
 
Kwa ufupi kwamba nguo fupi na zakuabana ,modal najinsi zenu za.kibongo flava usije nazo sauti.
Sawa mkuu, mfano wale wanaokaa mbali na saut mfano wanatokea mbali inakuwaje afu ukute ndio kipindi cha UE
 
SAUT ya leo mitihani ya Mwezi July matokeo hupati hadi October hii. Huwezi endelea na level nyingine (Masters) chuo kingine kwani matokeo hayajakamilika.
Siku hizi kuna SMIS na siyo SARIS
Heri yenu mliosoma zamani.
 
Kabisa yaani.....umemaliza mwaka gani mkuu?
Nakumbuka tulikuwa na group nyingi za discussion nyuma ya madarasa ya M4 na M3 hapo Msosi nyamalangoo au nilikuwa napenda kula quick Choice pale
 
mwaka kama wako, Graduu mgeni rasmi Mark Mwandosya
PR mbwembwe hahah nakumbuka mashindano ya FAWASCO PR na Sociology walikuwa na mbwembwe nyingi Sana sie father Maziku alitueleza tuache mbwembwe nyingi tucheze mpira tukashika nafasi ya pili
 
Back
Top Bottom