Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Hiii ID wamei-hack
Hapana, kitambo tu nipo hivyo, ni wewe tu unajua leo.

Acha kujadili myoa hoja, tujadiki hoja.

Kuna watu walikataa ndoa miaka mingi sana huko nyuma, sasa mtu akisema hiki kama jambo la "siku hizi" inaonekana yeye ndiye alikuwa hajui.

Jadili hoja.
 
Ni mwendo wa kuweka oda za watoto kwa akina mama au sio 😄
 
Sasa ndoa na 50/50 wapi na wapi. Lazima kimoja kijifie hapo ili kingine kiwepo
 
Sema kuna Umri ukifika huwezi shindana na nature utahitaji mwenza tu
 
Back
Top Bottom