Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Yule mzungu wako aliyekuoa ameshakupa ujauzito? au bado hujapandikiziwa kipochi manyoya!
 
Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya
Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
Sahihi.
Mfale Henry VIII wa Uingereza alioa jumla wake 6. Wawili aliwauwa kwa kuwakata kichwa.
 
Back
Top Bottom