Saizi hii ya uume wangu ni "kibamia"?

Saizi hii ya uume wangu ni "kibamia"?

Joined
Jan 10, 2018
Posts
26
Reaction score
12
Wadau,

Mimi naomba mniambie kama nina kibamia ama sina maana uume wangu ukisimama urefu upo sawa na urefu wa peni ya Obama japo naizid kidogo sana na unene ni inchi 4 kamili.

Je, hiki ni kibamia au sio?
 
Inategemea na mpokeaji (partner) wako. Kama ana kitu tight hiyo iko poa tu, lkn kama ana pond la samaki hicho ni kibamia
 
Unene inc nne? Hebu acha chai hapa unafahamu urefu wa kidole cha pete ni inchi 3 sasa unene wa dushe lako umezidi urefu wa kidole?
Hajui inches zikoje sio kosa lake
 
Unene inc nne? Hebu acha chai hapa unafahamu urefu wa kidole cha pete ni inchi 3 sasa unene wa dushe lako umezidi urefu wa kidole?
Usikatae mkuu, radius inafika Inch 4
66eeb1ac7acfabd43c67a4b46fa2b3d3.jpg
 
Unene inc nne? Hebu acha chai hapa unafahamu urefu wa kidole cha pete ni inchi 3 sasa unene wa dushe lako umezidi urefu wa kidole?
Hahaha mkuu nimeshangaa sana mtu kumiliki unene wa 4".. Au hajui nchi 4 zikoje?
 
nafkiri kaelewa nambieni icho ni kbamia ama sio
Sio kibamia, kwa mtu mzima kuanzia inchi 4 urefu sio kibamia, but inch 3 na kushuka chini ni kiba[emoji817] exactly[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]
 
HUMU Naona wote mnatina moyo tuu...
Ukitaka ukweli ni toka kwa mpenzi wako tuu Au wadada wenyenyewe waje hapa kutoa maoni yao ila ukiona comments nyingi ni za wanaume ujue wanajifariji wenyewe tuu,"huwezi kusema una mbio kama hakuna anaekukimbiza au kukusifia"
 
Unene inc nne? Hebu acha chai hapa unafahamu urefu wa kidole cha pete ni inchi 3 sasa unene wa dushe lako umezidi urefu wa kidole?
Mtu asiyejua hata vipimo vidogo tu utegemee aandike cha maana kweli? Hata dushe la nyati halina unene huo
 
Mtu asiyejua hata vipimo vidogo tu utegemee aandike cha maana kweli? Hata dushe la nyati halina unene huo
Huu uzi ukienda jukwaa pendwa nitakutumia picha uone unene wa nchi 4 ulivyo
 
Mtu asiyejua hata vipimo vidogo tu utegemee aandike cha maana kweli? Hata dushe la nyati halina unene huo
0b5990aa5e18b26d3cbfcea602e185ff.jpg
Angalia mzingo wa ndani ya vidole vyangu, hiyo ni nchi 4
 
Back
Top Bottom