uwezo wao ni kubeba wachezaji wa mkopo na waburebure gsm awezi kumwaga hela kwa timu ya hapahapa f.c.Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Akili zenu bwana rage aliziona mapema, tuonyeshe ilo kombe mlilobeba uko kimataifa ili tukubali kuwa nyie ni timu kubwa? Alafu amtupangii cha kufanya tutamtambulisha muda tutaotaka sisi na sio mnaotaka nyie nafikiri nimeelewekaMi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Huyo Aziz Ki ndiyo atasababisha muwaone viongozi wenu ni watu wa Fix maana waliwaaminisha wanamleta ili hali mambo bado.
Ndiyo maana simba wameamua kufanya usajili kimyakimya ili kuepusha kudanganya wanazungumza na mchezaji mpk makubaliano mambo yakikaa vizuri ndiyo wanamtangaza
Umecomment kwa hasira sana koloEti okrah ni loan na wakati hata media za ghana Zime report kauzwa kwa usd 120,000 ,eti azizi ki ni dollar laki mbili wakati kamaliza mkataba asec ,dah majitu yamezoea propaganda hadi aibu
$200,000
Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah
Free agents,. Wengine ni rejects huko walipotoka.
Makolo wengi ndio wamekesha kwa umbeaKi ndo ambaye Uto wamekaa kukesha kusubiri kutambulisha..!
Hivi klabu hii inawezaje kuleta uongo wa namna hii.
Wakili msomi ni mchezaji wa Simba kwani?Mlituma bei gani Yanga SC ili kupata saini ya Wakili Msomi.?
Huu mdomo tutaufunga 13/8 na feisal yupo hatujamuuza$200,000
Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah
Free agents, wengine ni rejects huko walipotoka.
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Kwani tulimsajili akiwa mchezaji wa yang a? Hatujawahi msajili morisoni kutoka yanga. Au ninyi uto mlituuzia morisoni mwaka gani?Swali ni mlitumia sh ngapi kumsajili B. Morrison kutoka Yanga SC?
Hau hajawahi kutoka yanga kuja kwenu.?
kwa hiyo unabishana na ASEC waliosema ni free agent?Siwezi bishana na wewe unaue ishi kazulamimba vijijini.
Hizi taarifa siziokoti.
Akili zenu bwana rage aliziona mapema, tuonyeshe ilo kombe mlilobeba uko kimataifa ili tukubali kuwa nyie ni timu kubwa? Alafu amtupangii cha kufanya tutamtambulisha muda tutaotaka sisi na sio mnaotaka nyie nafikiri nimeeleweka
Some people will get hurt in the end.
Bei mliyomuuza kama mlimuuza lknSwali ni mlitumia sh ngapi kumsajili B. Morrison kutoka Yanga SC?
Hau hajawahi kutoka yanga kuja kwenu.?