Sajili 10 Bora Zilizozua Gumzo Katika Dirisha hili la Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

Sajili 10 Bora Zilizozua Gumzo Katika Dirisha hili la Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
uwezo wao ni kubeba wachezaji wa mkopo na waburebure gsm awezi kumwaga hela kwa timu ya hapahapa f.c.
timu yangu ya Pyramids tumemtengea bi 1.6 Aziz ki.
 
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.
Akili zenu bwana rage aliziona mapema, tuonyeshe ilo kombe mlilobeba uko kimataifa ili tukubali kuwa nyie ni timu kubwa? Alafu amtupangii cha kufanya tutamtambulisha muda tutaotaka sisi na sio mnaotaka nyie nafikiri nimeeleweka
 
Huyo Aziz Ki ndiyo atasababisha muwaone viongozi wenu ni watu wa Fix maana waliwaaminisha wanamleta ili hali mambo bado.
Ndiyo maana simba wameamua kufanya usajili kimyakimya ili kuepusha kudanganya wanazungumza na mchezaji mpk makubaliano mambo yakikaa vizuri ndiyo wanamtangaza

Some people will get hurt in the end.
 
Eti okrah ni loan na wakati hata media za ghana Zime report kauzwa kwa usd 120,000 ,eti azizi ki ni dollar laki mbili wakati kamaliza mkataba asec ,dah majitu yamezoea propaganda hadi aibu
Umecomment kwa hasira sana kolo
 
$200,000

Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah
Free agents,. Wengine ni rejects huko walipotoka.

Hivi hujui kuwa huyo OKRAH naye ni wa MKOPO wa mda mrefu.?
 
$200,000

Mtawatukana viongozi na wachezaji wenu. Tayari amechukua tahadhari season ijayo itakua ngumu kwenu kutokana na mafanikio yenu ya msimu huu, timu zitawakamia sana. Hahah

Free agents, wengine ni rejects huko walipotoka.
Huu mdomo tutaufunga 13/8 na feisal yupo hatujamuuza
 
Mi nilitaka kushangaa yaani aziz ki aache ku sign simba aende utopolo kumbe ile ilikuwa ni propaganda ya kuombea kura kwa engineer aende yanga team inaheza mechi mbili kimataifa inarudi beach kidimbwi.

Kumbe simba nao walipeleka Dau ila halikuzidi Mil 400.

Haya ngojeni Barbra atamtambulisha Aziz KI.

[emoji23][emoji23]
 
Swali ni mlitumia sh ngapi kumsajili B. Morrison kutoka Yanga SC?

Hau hajawahi kutoka yanga kuja kwenu.?
Kwani tulimsajili akiwa mchezaji wa yang a? Hatujawahi msajili morisoni kutoka yanga. Au ninyi uto mlituuzia morisoni mwaka gani?
 
Kwa upumbavu wako utasema PSG, arsenal timu ndogo mbna hazina kombe la ulaya?

Back
Top Bottom