Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

Watz wengi wanajitoa ufahamu mimi sijawai mkumbuka magu katika matatizo yote yanayotokea hspa tz koz yanatatuliwa kabla ya magu watu waliishi vip?
Tunataka strong institutions Katiba bora mpya.
 
Dadake naungana nawe , Magufuli angetatua fasta Tena pengine hata mgomo wenyewe usingetokea
 
Naona umemkumbuka aliekua anamkuna mama Yako[emoji1787][emoji1787]
 
Maana we ni mtoto wa shetani
 
Sema angewasaka viongozi wa mgomo na msinge waona tena walikopotelea..

Mama ana roho nzuri,imagine PM ameenda kuwaona na Bado eti wamegoma sijui wakifinywa watamlaumu nani na mbaya zaidi kesho Kuna kikao tena na PM.
 
Rule of law vs anarchy state?
 
Mkuu kulipa kodi ni lazima kama unafanya biashara lkn nahisi wewe sio mfanya biashra kama ni mfanya biashara basi ni nje ya kko..
Ivi ulipie forodha ulipie mzigo ukiwa store, ulipie mzigo ukiwa dukani.. bado una kodi ya pango la store unakodi ya pango la duka.. hujalipa kodi zingine za serikali
 
Viwango vya kodi awapangi TRA bali waziri wa fedha wao wanakusanya tu kwa niaba ya serikali.

Kodi za serikali ni import duty, vat na income tax (hizo ndio TRA zinawahusu) kwenye kuzikusanya.

Hizo zingine ni za halmashauri, port authorities na watu binafsi wanapoweka mizigo.

Sasa kwa utaratibu huo there is enough blame to pass around kuliko kila lawama apewe mtu mmoja.

Upande wa serikali kuu hoja hapo ni CIF na import duty. Ili wafanyabiashara waeleweke wanatakiwa waeleze fair ni kiwango gani cha import duty kwa bidhaa mbali mbali.

Kwa sababu serikali inaweza weka viwango vya import duty vikubwa kwa lengo la ku discourage importation ili kuchochea manunuzi ya home made products.

Iwapo hizo bidhaa ni adimu kiasi kwamba inabidi waagize kuna hoja kama import duty ni kubwa kiasi kwamba inasababisha mzigo usiende. Au kama uzalishaji wa ndani ni mdogo kwa sababu ya gharama za kuanzisha viwanda ni mambo ya kushauriana na serikali kwenye sera rafiki.

The point is malalamiko yao yana angle nyingi kuna hoja za kiuchumi ambazo unataka kusikia na upande wa serikali pia, kuna hoja za halmashauri kujibu on business rates, kuna hoja za bandari kujibu au waziri wa uchukuzi na kuja hoja za business 2 business kujibu kwanini wanatozana hizo fees kubwa kwenye storage.

Either way kama wanalipa income tax hizo business rates zote za halmashauri, port fees, storage fees ni expenses ambazo unaruhusiwa kuzitoa kwenye income tax.

VAT sijaweka kuanzia bandarini kwa sababu kwa mfanyabiashara una claim back, utakiwi kulipa wewe na excise duty kwa wafanyabiashara biashara ya kariakoo aiwahusu unless kama wanaagiza pombe na sigara kutoka nje. Hiyo aipo kwenye nguo wala vyombo vya jikoni wanavyouza kwa wingi.

Wana hoja fulani ambazo serikali inabidi wasikilize au wazijibu na kutolea ufafanuzi sababu ya viwango vyao vya kodi tofauti.

Shida kubwa zaidi ya wafanyabiashara ni kuwa too generic kwenye hoja zenu na kupachika ya uongo ili tu mpate huruma ya jamii hapo ndio mnapokosea; inafikia hatua mnataka kuwaona mpaka hao watunga sera ni mazuzu wasiofahamu kodi tofauti walizotunga wenyewe kwa kupachika pachika yale yaliyopo na ambayo hayapo kwenye kujenga hoja zenu.

Hayo mambo ya kuongeza chumvi yanawaondelea huu seriousness wa malalamiko yenu ili watu wachukue upande wenu kwa sababu kweli ata hizo kodi mnazolipa kuna zingine inabidi viwango viangaliwe given the fact baadhi ya bidhaa hazizalishwi kabisa Tanzania na ni necessary kwa watumiaji ivyo import duty itazamwe au excise duty in some instances.
 
Kalifufueni
 
Ivi Kwa magufuli ilishawai kutokea ivi,
 
Huyo jamaa yako mbona alishakufa ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ukishakuwa na Rais asie muajibikaji hadi karani hatawajibika
 
RC mgogoro kama huo wa kikodi uliochini ya wizara ya fedha atautatua vipi?hata waziri wa biashara ni ngumu!!ukiwasikia wao hawataki tamko tu hata awe PM wanataka maandishi tena ya RAIS!!Bunge limetunga sheria,rais ameipitisha imeanza kutumika,leo wasimamizi tena TRA,wanayoisimamia wanaonekana wabaya?!!!japo wana sema wana malalamiko mengi,ila hayo yamekuwepo miaka yote,hili jipya la usajiri wa stores ndipo kwenye balaaa!!!Suala la kisheria ukilituliza kisiasa lina madhara yake.Mambo yanayohusu kodi sio ya kucheka na nyani,Rais ni kusema tu sheria iko pale tu,ambaye hawezi kufanya biashara aache wanaoweza,na baada ya wiki tunachukua leseni yetu kwisha!!mbona jana kuna wengibe walikuwa wanataka kufungua boashara ila wanatishwa na wengine?
 
Kweli kabisa na wakaidi wangekatwa pumbu na kwenda kuozea jela. Mtu mdogo anayumbisha nchi huku akichekewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…