Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
President Samia is the genius leader.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu majuZi alisema alipokufa baba yake mzazi hakulia sana ..ila alipokufa Jpm alilia mno mnoo..nikamuuliza una uhakika alikua baba yako?☹Hivi ulivyo mjinga hujui kuwa sakata hili kiini chake ni sheria mbovu iliyopitishwa na bunge haramu lililowekwa na shetani Magufuli kwa uroho wake wa pesa?
Unachotaka kutueleza ni kuwa huyo shetani Magufuli angemaliza sakata hili kwa simu kwa kuvunja sheria?
Haya kalale juu ya kaburi lake kwa kumlilia zaidi!
Kumwondoa Boss wa TRA,sio suluhisho.Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!
Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.
Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!
MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.
NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Ushauri:
Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!
Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.
JUST LIKE THAT!
Ulishawai kumiliki hata genge mtaani kwenu au unaongea?Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!
Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.
Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!
MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.
NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Ushauri:
Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!
Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.
JUST LIKE THAT!
Hizi Kodi za kimafia zinaitaji elimu ya nini ccm inatakiwa kuondolewa kwanguvu ya kwanguvu ya umma ili bahari itulie.Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!
Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.
Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!
MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.
NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Ushauri:
Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!
Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.
JUST LIKE THAT!
KamleteKi sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!
Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.
Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!
MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.
NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Ushauri:
Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!
Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.
JUST LIKE THAT!
Yaani yule mwehu aliwashika kweli akili hawa jamaa.Sasa hivi hata wakiumwa tumbo wanasema JPM angekuwapo angewaponya.Watoto wa marehemu mnatia huruma watu waache kudai haki zao kisa magufuli ila mlitekwa vibaya sana mazuzu
Wapumbavu wakamfufue basYaani yule mwehu aliwashika kweli akili hawa jamaa.Sasa hivi hata wakiumwa tumbo wanasema JPM angekuwapo angewaponya.