Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

Huyu majuZi alisema alipokufa baba yake mzazi hakulia sana ..ila alipokufa Jpm alilia mno mnoo..nikamuuliza una uhakika alikua baba yako?☹
 
Kumwondoa Boss wa TRA,sio suluhisho.
Kwanini unataka kuwaaminisha watu kwamba,TRA ilijipangia mambo ya kufanya kuhusu Kodi pale sokoni,na Raisi,mskamu,Waziri mkuu,waziri wa fedha,kstibu wa wizara wote Hawa walikua hawafahamu!!!
Kodi zote zimepitishwa na Samia na Baraza lake la mawaziri,kila kitu wanajua,nafikiri wanajiuliza kwa Kodi nyingi vile,Hawa jamaa mbona wamechukua muda mrefu kugoma!!
 
Ulishawai kumiliki hata genge mtaani kwenu au unaongea?
 
Hizi Kodi za kimafia zinaitaji elimu ya nini ccm inatakiwa kuondolewa kwanguvu ya kwanguvu ya umma ili bahari itulie.
 
Sio simu moja! Sasa hivi viongozi wote wa migomo wangekuwa hawajulikani walipo au wangekamatwa na kwenda kupasuliwa korodani.
 
Magufuli ndio nan? Hv kwa nn wengi wenu mnashindwa kuzikubali nyakati hayupo na hatokuepo milele
 
Kamlete
 
Watoto wa marehemu mnatia huruma watu waache kudai haki zao kisa magufuli ila mlitekwa vibaya sana mazuzu
Yaani yule mwehu aliwashika kweli akili hawa jamaa.Sasa hivi hata wakiumwa tumbo wanasema JPM angekuwapo angewaponya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…