nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Nyingine za magaidi tuhizi dini zingine ni biashara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingine za magaidi tuhizi dini zingine ni biashara tu
Sote tutakufa na kuoza, bahati nzuri hakuna ajuaye nani atakaemtangulia mwenzake, mwanahabari huru, mimi, wewe au yeyote yule.Nakuchukia sana mwanahabar huru nataka hata ukufe tu khaaaaaa umetumwa kuvunja kanisa kkkt nn aaaakha kufaga tu uoze
Faiza Fox kumbe upo??Kila uozo wa kijamii kitovu chake ni wachungaji makanisani.
Kuoana jinsia moja wao.
Kulawitiana wao.
Kuharibu watoto wao.
Viungo vya Albino wao.
Uzinzi wao.
Uasherati wao.
Madawa ya kulevya wao.
Na misukule bado wanawafata hao hao eti wawafutie dhambi.
Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Faiza Fox kumbe upo??
Habari za siku, kitengo chako Ikulu kingalipo??
Asalam aleikum Bibie[emoji120]Ikulu ni mahala pa kupaheshimu, tafadhali tusiongelee Ikulu.
...Au ' Bishop, my Wife and I...' [emoji16]Itaitwa "Bishop Loves My Wife"
Kaburi hili linatoa harufu mbaya...itakuwa maiti yake imeoza kabisa mmh!Tufukuwe makaburi.
SASA NDIYO MKUU WA KKKKTMUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi,
Akizungumza na MwanaHALISI online baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.
Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.
MwanaHALISI limemtafuta Shedafa kwa tuhuma hizo, alipokea simu na baada ya kuambiwa kuwa anaongea na MwanaHALISI alikata simu na kukataa kuongea suala hili na mwandishi.
Malasusa anadaiwa kuwa anadaiwa kushirikiana na mfanyakazi wa hospitali ya Muhimbili anayeitwa Julieti, aliyewaambia ndugu wa mume anayenyang’anywa mke wake na malasusa kuwa atakiona.
“Huyu kaka anajidai mjuaji, hapti kitu, utaratibu uko tayari wa kuwasafirisha watoto kwenda nje ya nchi na hatawaona tena, ataishia kuwasikia tu, mimi ni mtu wa Karibu na Askofu Malasusa ndo nawaambia”. Alinukuliwa dada huyo akiongea kwa ujasiri.
Hadi sasa watoto wanaotafutwa na baba yao ambao Jeshi la Polisi linadaiwa kushirikiana na Malasusa licha ya taarifa zao kufika polisi kituo cha Wazo na kutochukuliwa hatua ni Sijenuni, Sephania, na Simon wote wanadaiwa kuwa watoto wa Venance Mwakilima.
Taarifa za leo usiku zilizofikiwa MwanaHALISI online zinadai kuwa baadhi ya Maaskofu Jijini Dar es Salaam wameamua kujitokea kulinda heshima ya uaskofu baada ya kudhalilishwa na Malasusa.
Maaskofu ambao hawakupenda kutajwa majina yao kwa kuwa si wasemaji wa vikao halali wamesema “hili suala tunalichukua,
Malasusa ana tuhuma nzito nchini, na baada ya gazeti kuandika watu wamejitolea kujieleza tunaomba muda kesho (Jumanne) tutaliongelea hadharani baada ya kukutana na mume wa me.
Aidha Malasusa hakupatikana kwenye simu zake wala kujibu ujumbe wa simu aliotumiwa tangu juzi wakati gazeti la MwanaHALISI likiendelea kufuatilia sakata hili.
Huyu ni mwanadamu kama wanadamu wengine.Rejea Yuda Iscariyote alimsaliti Yesu Kristo pamoja na kujua Yesu ni mwana wa Mungu.Usimwamini mwandamu yeyote anaweza kufanya jambo lolote 🙄Inawezekana story hii ikawa ni MATOPE tu,ukiangalia huyu mtu ana hadhi kubwa kwa watu wake.Ukweli utajulikana.Haingii akilini kiongozi mkuu kama huyu ajihusishe na mambo yenye kumfedhehesha yeye mwenyewe.
Duh we acha tu.Ila binadamu kwa kufukua makaburi ni hatari !SASA NDIYO MKUU WA KKKKT