Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Nakuchukia sana mwanahabar huru nataka hata ukufe tu khaaaaaa umetumwa kuvunja kanisa kkkt nn aaaakha kufaga tu uoze
Sote tutakufa na kuoza, bahati nzuri hakuna ajuaye nani atakaemtangulia mwenzake, mwanahabari huru, mimi, wewe au yeyote yule.
 
Game ilichezwa hivi mmoja alikuwa upande ule wa kanisa limekaa kama vile kikambi hivi halafu game ikapigwa naona kama wanataka kuwin game hivi aaaah mwenyewe hata sijuwi naongea nini
 
Faiza Fox kumbe upo??
Habari za siku, kitengo chako Ikulu kingalipo??
 
Inaelekea siasa imetamalaki sana kwenye haya makanisa (ukiondoa kanisa la Catholic). Ugomvi wa madaraka na rasilimali umekuwa wa bila kificho kabisa.

Wasipoangalia watakuja kugawika vipandevipande kama baadhi ya vyama vya siasa.
 
SASA NDIYO MKUU WA KKKKT
 
Inawezekana story hii ikawa ni MATOPE tu,ukiangalia huyu mtu ana hadhi kubwa kwa watu wake.Ukweli utajulikana.Haingii akilini kiongozi mkuu kama huyu ajihusishe na mambo yenye kumfedhehesha yeye mwenyewe.
Huyu ni mwanadamu kama wanadamu wengine.Rejea Yuda Iscariyote alimsaliti Yesu Kristo pamoja na kujua Yesu ni mwana wa Mungu.Usimwamini mwandamu yeyote anaweza kufanya jambo lolote 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…