Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

Wale wanaosemaga solution ya ugoni kwa mapadri kuoa, nadhani hawajui. Huyu ana mke na familia, so is Gwajima, Geordavie.
 
Hizi siasa za kuchafuana kumbe ni mpaka makanisani?nilifikiri ni kwenye siasa na mpira tu
 
Ama kweli binadamu huwezi kwenda kinyume na maumbile, maaskofu oeni au kama vipi mhasiwe basi!
KKKT INARUHUSU WACHUNGAJI KUOA... ASKOFU ANAPASWA KUWA MUME WA MKE MMOJA., MWENYE TABIA NJEMA ISIYOTIA MASHAKA !!! KAMA KATENDA HAYO NI CHUKIZO NA ANAAIBISHA KANISA... HASTAHILI UASKOFU

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Wameufufua baada ya Malasusa kuwa Askofu mkuu tena.
Nimeufufuwa mimi. Ukisoma uzi wowote wa JF ukifika chini utakuta nyuzi zinazihusiana na maudhui hiyo, hata za zamani.

Nilikuwa nasoma uzi wa uchaguzi wa KKKT nikakuta chini uzi huu wa zamani, nikaufunguwa.

KKKT Akichaguliwa malasusa au hata Mwambulukusi, hawanihusu ndee wala sikio. Mimi ni Muislam na Kiislam hakuna uchaguzi wa viongozi.
 
Nitaftie binti wa ki Islam mashaalaaah...nawakubali kwa uswafi...🙂🙂
 
Haya Bibi,Malasusa ni Askofu mkuu tena.Mungu ampe Hekima na Busara.Ninamuombea Mungu amtunze ili aongonze Kanisa.
 
Akili kubwa zinajadili maendeleo.
Akili za kawaida zinajadili matukio.
Akili mbovu zinajadili mtu.
Huu usemi ni wa kipumbavu,walioutunga walifanya hivi ili kuwakatisha watu kuwasema.Vyote hivyo maendeleo ,matukio yanafanywa na watu.Hivyo watu lazima wajadiliwe.
 
Haya Bibi,Malasusa ni Askofu mkuu tena.Mungu ampe Hekima na Busara.Ninamuombea Mungu amtunze ili aongonze Kanisa.
Namuombea kwa Allah aachane na kanisa aingie kwenye Uislam kama Askofu huyu:

Askofu Awa Uislamu, Ageuza Kanisa kuwa Msikiti​




Nakuombea na wewe pia uione nuru ya Uislam.
 
Huu usemi ni wa kipumbavu,walioutunga walifanya hivi ili kuwakatisha watu kuwasema.Vyote hivyo maendeleo ,matukio yanafanywa na watu.Hivyo watu lazima wajadiliwe.
Jadili maendeleo binti, siyo mtu. Wacha umbea na ufataani. Ukishindwa jadili matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…