Comrade mo, documents kama hizo unapozisomea nyumba ya ibada inaleta shida kidogo kuelewa kama sio muumini wa nyumba hiyo ya ibada,Kwa sababu ambae sio muumini wa hapo atasema wa kidini,lakini ungesomewa mbele ya waandishi wa habari au vyombo vya habari,usingeleta mkanganyiko.angalia Leo,thread nyingi Kwa kuwa umesomewa ndani ya nyumba ya ibada na SI kingine,hiyo haileti afya Kwa taifa.
Watz watagawanyika kidini kuhusubwaraka kuanzia Leo,tofauti na ulivyokuwa unachukuliwa siku za nyuma.
Mbaya zaidi watu wanaandika sauti ya TEC ni sauti ya MUNGU he wasioamini TEC unawashawishi vipi?
Kuna watu hawana dini,he tunawashawishi vipi Kwa kusoma waraka kanisani?