Katika kipindi Cha mwezi mmoja Sasa .. Bila shaka Taifa limeingia kwenye sitofahamu kubwa ! HII ni kuhusu Mkataba wa Uwekezaji baina ya JMT na DPW!
Mengi yamesemwa ,Kuandikwa na kujadiliwa ! Kinachoshagaza ni namna tasinia ya Sheria inayotumika kukosoa au kutetea Mkataba au Makubaliano haya!
Upande wa wanaopinga wanajielekeza kwenye Vipengele Mahususi,kwenye Mkataba ,lakini Bahati mbaya sana upande wa utetezi mara nyingi unaongelea vitu Kwa ujumla!
Binafsi nilishangazwa na kumhurumia Mwana Sheria Mkuu wa Serikali alipokuwa anajibu hoja kinzani !
Mwisho wa Siku Tasinia ya Sheria katika hili imetukwamisha..!
Wamekuwa kama Wanasiasa! Wanatafuta ufuasi badala ya kueleza ukweli !
Bila shaka sakata hili litaaandikiwa Vitabu ! Yaani Msukuma ,Kibajaji,Haji Manara,Zenbwela ,na Masheikh Uchwara wanaungana baadhi ya Wanasheira na Mawaikili kujibu HOJA za Prof.Shivji,Warioba ,Mwanukisi,Dk Slaa,TLS,Rugemaliza Nshala na wengineo...Hakika hamtundei Haki Watanzania!
Hata kama mnalinda ugali...hii imezidi!