Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

Tukatae kuuza bandari zetu hadi tutakapokuwa na Uwezo wa kuziendesha wenyewe.
 
Huyu mfungua kesi mbona kama ana mambo mengi?

Aende tu na hoja ya kukataa kuuzwa bandari zetu.
Hofu yangu Ni hao wadau kupewa mgao pia. Maana DP kutoa kifuta machozi Kwa wapiga domo sio ishu
 
Hivi ni vichekesho, yani bunge hili la mahoka ndio unategemea kuna lolote jipya wanaweza kufanya?

Mnapoteza muda wenu bure, waacheni Watanzania watakapochoka ndio watajitambuwa kwamba wao ni Jeshi kubwa zaidi ya Polisi.

Ni nguvu ya umma peke yake ndio inaweza kuheshimiwa na maccm.
 
Nitaongeza kimoja:

(vi) Kuipa hisa siyo chini ya 16% Serikali ya Tanzania kuputia TPA kama mbia kwenye kamapuni ya DP WORLD Tanzania.

NB: Hii inathibisha kuwa Bandari haijajengwa hewani bali kwenye ardhi. Ardhi ndiyo inaipa Bandari thamani
 
Unamuona Mwamba
Your browser is not able to display this video.
 
Good move I support this move. No way

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Wazo ni Zuri sana Tu ila Bira KATIBA MPYA HAKUNA JIPYA,
KATIBA MPYA NA ILIYO BORA NDO MSINGI WA MABAFILIKO YA KWELI
 
Pesa ikiwekwa mezani msije shangaa hawaonekani Hawa njaa Kali
 
Mmecbelewa Sana . Kesi inatakiwa ifunguliwe haraka iwezekanavyo tuko tayari kulipia gharama za kuendesha hiyo kesi
 
we kusoma kwako kwenyewe shida mkataba umeuona wapi
 
Mkuu Mdude kama kuna namna yoyote ya kuchangia hela ili kuwezesha mchakato ni vema tukipewa utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…