Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Sad story of hyper bila hype
 
Jambo la msingi ni kutupilia mbali hiyo mikataba yote maana imegubikwa na mazingira tata hasa ushawishi wa rushwa kama tulivyosikia baadhi ya wanasiasa kupewa ziara ya utalii huko dubai na kulambishwa asali ya viieite na dola elfu 50.

TPA ihusike kuingia mktaba wa kiuendeshaji baina yake na kampuni ya DP World kwa namna ile ile ilivyoipa TICTS mkataba wa kuendesha shughuli za bandari.

Kutoa mkataba wa miaka 100 au wa umilele ni kuwafanyia maamuzi viongozi ambao bado hata hawajazaliwa jambo ambalo si haki hata kidogo. Sheria itungwe mkataba wa mara moja usizidi miaka 30 ili kuwapa haki viongozi wengine wanaofuata kufanya tathmini ya ama kuendelea au kusitisha mkataba kutokana na mazingira yao kwa wakati huo.​
 
Mkuu kumbe una akili nzuri sana ukitulia. Kabla nilijua wewe ni mtaalamu wa matusi tu kama wahuni, vijana wengine wasio na maadili.

Jitahidi ubaki na hoja, kujibu hoja usitukane. Utaungwa mkono. Hapa nakuunga mkono pamoja na shauri lako.

Hata NZI akiacha ujinga anaweza tengeneza Asali.
 
Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.

Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.

Kwamba lengo la shauri hilo ni:

(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.

(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.

(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.

(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.

(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana

i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika

ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.

iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.

iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.

v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Mara ya kwanza huo mkataba aliposaini mchina (Ticts) mlienda mahakamani?
 
Hata NZI akiacha ujinga anaweza tengeneza Asali.
Unamaanisha hata Pascal Mallaya anaweza kuwatetea Watanzania, maslahi ya Taifa, Public, national interests sio chama chake tu na tumbo lake?
 
Nawaunga mkono hawa mawakili waende mahakamani kweli.

Hawa waandishi wetu wa habari hawawezi, hawataki kuhoji executive Serikali, wanaigoba. Sasa tunategemea mahakama isimamame. Otherwise wananchi watasimama.
 
Mkuu kumbe una akili nzuri sana ukitulia. Kabla nilijua wewe ni mtaalamu wa matusi tu kama wahuni, vijana wengine wasio na maadili.

Jitahidi ubaki na hoja, kujibu hoja usitukane. Utaungwa mkono. Hapa nakuunga mkono pamoja na shauri lako.
Mdude amebadilika ghafla sijaamini
 
Mdude amebadilika ghafla sijaamini

Posts zake mbili zilizopita anakuja kama ni kijana muhimu, mzalendo, asset kwa Taifa.

Ngoja tumpe miezi sita, 18, 24. Msimamo wake utakuwa kulitetea Taifa sio maslahi au maslahi binafsi ya chama chake.
 
Tutarifiwe siku ya kuanza kusikilizwa kesi ili wazalendo tuje kusikiliza. Na kila siku kesi inaposikikizwa, tutamalizia na mchango wa gharama za uendeshaji kesi. Wao wana DP tajiri mtoa rushwa, sisi tuna maskini wanaochangia kuokoa nchi yao iliyo hatarini kuuzwa.
 
Posts zake mbili zilizopita anakuja kama ni kijana muhimu, mzalendo, asset kwa Taifa.

Ngoja tumpe miezi sita, 18, 24. Msimamo wake utakuwa kulitetea Taifa sio maslahi binafsi.
Yes huu ni uzi wa pili kufungua wenye mashiko
 
Wekeni namba ya kumchangia huyo mwanasheria tutoe buku buku zetu ili asiishie njiani Bali Safari hiyo yenye heri kwa Tanganyika akaitue salama
 
Back
Top Bottom