Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo linaanzia hapoSiku tukienda kwenye kesi tuwe tunaenda na mchango wa mawakili buku 20 Kila siku ya shauri
Kwani mkataba wa TICTS ni sawa na wa DPWORLD? huoni kuwa wa ticts umeisha lkn wa dpw utakuwa wa milele, nakushauri uache kufuatilia vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako, kama na hilo dogo tu limekushinda.Mara ya kwanza huo mkataba aliposaini mchina (Ticts) mlienda mahakamani?
Huo ilikuwa utani tu bwana eeeee?Tatizo linaanzia hapo
Buku20 kwel???
Au unataniaaaaa???
Wahuni watupu. Mkataba kama huu Dubai World, United Arab Emirates, Dubai USA,UK, EU, China wangekubali, wangepewa kusaini?Bunge la kuhuni sana lile.
Hakuna watu mule ni matutusa tu yamejaa.
RwanWahuni watupu. Mkataba kama huu Dubai World, USA,UK, EU wangekubali wangepewa kusaini?
Rwanda wao wamesaini ujinga kama huu??Wahuni watupu. Mkataba kama huu Dubai World, USA,UK, EU wangekubali wangepewa kusaini?
Hakuna nchi inaojitambua kama UAE, Saudi Arabia, USA, UK, EU itasaini mkataba wa kijinga kama huu.Rwan
Rwanda wao wamesaini ujinga kama huu??
Upuuzi mtupu. Makubaliano ni mkataba? Porojo za kisiasa na tafsiri ya kisheria ni vitu viwili tofauti.Kwani mkataba wa TICTS ni sawa na wa DPWORLD? huoni kuwa wa ticts umeisha lkn wa dpw utakuwa wa milele, nakushauri uache kufuatilia vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako, kama na hilo dogo tu limekushinda.
Huyu mfungua kesi mbona kama ana mambo mengi?
Aende tu na hoja ya kukataa kuuzwa bandari zetu.
Was my opinions.Ni mtu huru, usimpangie aendelee na nini, na wewe unaweza anzisha ya kwako
Kagame kaifungua nchi yake kwa uwekezaji wa DP World wakati huku bongo kina Mwabukusi wakiwajaza ujinga mamilioni ya watanzania!.Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.
Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.
Kwamba lengo la shauri hilo ni:
(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.
(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.
(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.
(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.
(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana
i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika
ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.
iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.
iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.
v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Kama kuna hitajika kuchangia leteni namba ya kucnangia hapaSakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.
Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.
Kwamba lengo la shauri hilo ni:
(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.
(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.
(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.
(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.
(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana
i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika
ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.
iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.
iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.
v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Unajua kuwa huwa mkataba usioeleweka unakwenda kuzaa mikataba kadhaa yenye kueleweka?.Aibu kabisa, kwa nn hawataki kusikiliza matakwa ya wananchi?
Kwanini wanataka kuwakatili watanzania? Watanzania wanachohoji kina mantiki kubwa sana!! Huu mkataba upewe muda wa marejeo!! Hakuna anayekataa DP World ila waweke mkataba unaoleweka!!
Kweli kwa dunia ya Leo utaingia mkataba wa nchi wa hovyo namna hiyo na watu wakae kimya tu? Hapana?
Pawepo na marejeo mkataba maana watanzania kwa miaka ijayo lazima kutakuwa na kilio na tayari itakuwa hamna namna ya kurudi nyuma!!
Hii nchi ni yetu wote, wanaongoza wamepewa dhamana ya watanzania ni sii kwamba wao ni tofauti sana!!
Mnajisumbua mwacheni mama aupige mwingi mpaka umwagikeSakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo.
Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba Mahakama imuamuru mara moja Waziri mwenye dhamanakuurejesha Mkataba ule Bungeni ukiwa na MoU, IGA na Mchanganuo wa Mradi ili Bunge na wananchi wapate haki yao ya Kikatiba ya Kutoa maoni.
Kwamba lengo la shauri hilo ni:
(a) kuwezesha na Kutoa Muda wa Kutosha wa Bunge Kuujadili na kuufanyia Marekebisho.
(b) Kutoa Muda wa Kutosha kwa wadau na Wananchi kuuelewa, kuujadili na kutoa Maoni yao kuhusu mambo yanayojumuishwa katika IGA.
(c) Kuweka Utaratibu maalum ambao wadau wote (ikiwemo Indegenous people) ambao kwa msingi wa Maisha yao, Maeneo yao, jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa. Kwamba jamii yao na shughuli zao Kiuchumi zimefungamana na Maziwa , bahari ,Strategic Economic Zone ambazo utekelezwaji wa IGA hii unaweza moja kwamoja kwa kwanjia zisizo za moja kuathiri maisha, Mila, itikadi za watu hawa ni (Wenyeji wa asili wa Maeneo ambayo mradi inayojumuishwa katika IGA –katika ukanda wa bahari na maziwa makuu.
(d) Ili kuondoa Utata uliopo Mahakama iamuru serikali kupitia Waziri mwenye dhamana kutoa IGA katika lugha ya Kiswahili na kuisambaza kwa wadau na wananchi wote pamoja na kuzingatia matakwa yote ya kisheria kwa mujibu wa Mikataba ya namna hii.
(e) Kuboresha Makubaliano ya IGA na kuweka bayana
i. Ukomo na mawanda ya Mradi na utekelezwaji wa shughuli zote
zilizokubaliwa katika mradi husika
ii. Kuweka kifungu cha kuongoza uvunjaji wa Mkataba.
iii. Kuondoa Vifungu vinavyoashiria umilele.
iv. Kuondoa Vifungu vyote ambavyo moja kwa moja au kwa matokeo yake vinaondoa Haki ya nchi ya umiliki wa raslimali (Sovereignty), haki ya nchi kufanya ushindani na fursa ya nchi kuruhusu wawekezaji wengine katika eneo la uwekezaji wa bandari.
v. Kuhakikisha Uzingatiwaji wa Sheria Zingine za Nchi na kuhakikisha kwamba Mkataba huu hauwi juu ya Katiba ya nchi, sheria za Ardhi na sheria zinazolinda raslimali asili za nchi.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Siyo mahali pake hapa, mwendee inbox.we zuzu karudishe hela ya watu utakuja kuolewa