Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

Siku tukienda kwenye kesi tuwe tunaenda na mchango wa mawakili buku 20 Kila siku ya shauri
 
Hivi mtu hata hajawahi kuandika Concept Note, na sio Proposal halafu anaitwa Docta.

Docta Musu-kumad ndio Think Tank ya Tanganyika.

Ma Profesa wako Kimyaaa.
Yaani nahuzunika kuwa Mwafrika Mweusi.
Ni kizazi Kipumbavu sijawahi kushuhudia.
Ajuza Mzee anawauza mnamwangalia tu. Maprofesa wa kusubiri Mshahala wa mwisho wa Mwezi.
 
Bunge la kuhuni sana lile.

Hakuna watu mule ni matutusa tu yamejaa.
 
Bunge la kuhuni sana lile.

Hakuna watu mule ni matutusa tu yamejaa.
Wahuni watupu. Mkataba kama huu Dubai World, United Arab Emirates, Dubai USA,UK, EU, China wangekubali, wangepewa kusaini?
 
Rwan
Rwanda wao wamesaini ujinga kama huu??
Hakuna nchi inaojitambua kama UAE, Saudi Arabia, USA, UK, EU itasaini mkataba wa kijinga kama huu.

Halafu unatetewa na wabunge badala ya kupingwa!

Haiwezi kutoka nchi yoyote duniani inayojitambau.
 
Kwani mkataba wa TICTS ni sawa na wa DPWORLD? huoni kuwa wa ticts umeisha lkn wa dpw utakuwa wa milele, nakushauri uache kufuatilia vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako, kama na hilo dogo tu limekushinda.
Upuuzi mtupu. Makubaliano ni mkataba? Porojo za kisiasa na tafsiri ya kisheria ni vitu viwili tofauti.
 
Huwezi kufanya mkataba kama huu na mtu yoyote duniani kuhusu vitu vyako binafsi.

Ni mkataba wa upande mmoja. Wengine wawakilishi wetu wamesaini tu. Hawajali hata kimoja, kila kitu kilichoandikwa. Hawajausoma.
 
Kagame kaifungua nchi yake kwa uwekezaji wa DP World wakati huku bongo kina Mwabukusi wakiwajaza ujinga mamilioni ya watanzania!.

Huu ni zaidi ya upuuzi wa kiwango cha lami. Siasa nyepesi zinapochukua nafasi ya uwekezaji wenye lengo la kuipeleka nchi katika uchumi wa kweli wa kati.

Hiyo reli inajengwa kwa thamani ya trilioni 15, kwa akili inayofikiria mambo kwa kina hiyo pesa inarudishwa kwa mamlaka za kiserikali kuja na wawekezaji wa viwango vyenye faida pana kuliko pesa iliyotumika.

Dunia haisubiri eti mpaka wajinga wapate akili sahihi, yenyewe inasonga mbele.
 
Kama kuna hitajika kuchangia leteni namba ya kucnangia hapa
 
Unajua kuwa huwa mkataba usioeleweka unakwenda kuzaa mikataba kadhaa yenye kueleweka?.

Utekelezaji wa hicho kilichopelekwa bungeni unakwenda kutoa njia kwa uwepo wa mikataba ya kibiashara kati ya DP World na taasisi za humu nchini zenye kufuata sheria za ndani.

Haupo uwezekano wa mkataba uliopelekwa bungeni kuwa ndio huo unaotumika huku uraiani. Elimu pana inatakiwa iwafikie wananchi juu ya aina hii ya biashara kwani ni mara ya kwanza kufanyika hapa nchini hivyo maoni mengi ya wadau ni kuona kama vile tunataka kuibiwa.
 
Mnajisumbua mwacheni mama aupige mwingi mpaka umwagike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…