Sakata la Bundles - Suluhisho

Sakata la Bundles - Suluhisho

Hii Serikali acha tu yaani ndio Hindrance ya mambo mengi...

Kipindi watu tunahangaika na TTCL kupigia ndugu zetu huko mtoni wakati kuna SKYPE huku ilikuwa Inapigwa marufuku (Eti itapunguzia mapato TTCL)..., Yaani leo nina uhakika ukija na innovative ya watu kuongea bure watasema achana nayo hio tutakosa TOZO au wao ndio watapanga Bei. ili wapate TOZO zao....

Sasa kuliko tuwapangie kina VODA na TIGO (ambao hata kama wanapata faida kubwa ila pia kuna Research and Development zinabuma au hizo pesa wanazitumia kuwapa mapesa zaidi wafanyakazi wao au wanawapa panya wazile - "who cares") Kwanini Serikali wasideal na Kampuni yao na hizo Innovative Ideas zote nzuri nzuri wazipeleke huko TTCL na Bei zishuke Huko TTCL ?!!!! Kwa kufanya hivyo sisi walaji watakuwa wametupa the cheapest choice (TTCL) hao wengine itabidi waige...
Nimeanza kuelewa kwanini Magufuli aliamua kuanza kuipa uwezo na mtaji TTCL ili iweze ku dominate market kutokana na good and quality products nad service care ili wengine waweze kuiga kwao na mwisho wa siku mnufaika mkubwa ni sisi watumiaji wa mwisho/wa chini/mwananchi wa kawaida. Ila toka 21/03/2021 mambo ya CARTEL ndio yamerudi kutunyonya. Tuna safari ndefu sana
 
Hawa majamaa ni wanyonyaji sana sometimes unaweza ukawa unawahisi vibaya makampuni ya simu ila kauli za Nape zikaku prove wrong kabisa

Kama mtanzania mwenzako anaweza kukufanyia undava kama huu si bora mara 10 utawaliwe na mkoloni anaweza akawa na sababu ya msingi
100%
 
Back
Top Bottom