Hii Serikali acha tu yaani ndio Hindrance ya mambo mengi...
Kipindi watu tunahangaika na TTCL kupigia ndugu zetu huko mtoni wakati kuna SKYPE huku ilikuwa Inapigwa marufuku (Eti itapunguzia mapato TTCL)..., Yaani leo nina uhakika ukija na innovative ya watu kuongea bure watasema achana nayo hio tutakosa TOZO au wao ndio watapanga Bei. ili wapate TOZO zao....
Sasa kuliko tuwapangie kina VODA na TIGO (ambao hata kama wanapata faida kubwa ila pia kuna Research and Development zinabuma au hizo pesa wanazitumia kuwapa mapesa zaidi wafanyakazi wao au wanawapa panya wazile - "who cares") Kwanini Serikali wasideal na Kampuni yao na hizo Innovative Ideas zote nzuri nzuri wazipeleke huko TTCL na Bei zishuke Huko TTCL ?!!!! Kwa kufanya hivyo sisi walaji watakuwa wametupa the cheapest choice (TTCL) hao wengine itabidi waige...