Sakata la CCM: Uwoya amlipua Batuli

Aisee watu wana ubuyu hapa mjini hadi unaweza kupagawa kabisa
Chezeiya ubuyu na mambo ya shilawadu, Daudi alikuwa anawafanyia recycling tu ya hawa wasanii had issue ya masogange ilivo mbumbulika, tena maso amshukuru Daudi kumsitiri maana hata chumba cha kulala hakuwa nacho.
 
Sasa hela za UPUNDA alikuwa halipwi?
 
Sasa hela za UPUNDA alikuwa halipwi?
Masogange ule mzigo mkubwa waliobeba hela waliyopewa haikufika million tano yeye na nduguye melisa, maana South walibanwa had kuingizwa shimoni mwa siafu wataje mzigo wa nani. Upunda wa kibongo huzulumiwa hela tofauti na wanaopeleka ka China na US ambao kilo moja kubeba dollar alfu kumi.
 
Alaaa, sasa kuna faida gani kama hela yenyewe hata milioni 5 haifiki, si ujinga huo?
Hivi hawa wanaobebeshwa huwa wanarubuniwa kitu gani labda hadi wanabeba?mfano mtu anakubali kupeleka mzigo china labda
 
Wauza ngada huwatumia wasanii maana wanawalipa cheap sana, ujue wauza ngada ni mtandao hatari wanakuwa wameshawaonga watu wa airport kabisa sasa yule waliye mhonga akibadilishwa ndo unadakwa hivo. Hawa kina masogange nadhani njaa zao ndo zawafanya walipwe kidogo hivo
 
Mimi binafsi siangalii kujua kuandika wala kujua kiswahili vizuri maana hata daudi bashite aliandika filemoni mbowe akimaanisha freeman mbowe. A watu tukaelewa sasa na hapa tuelewe tusikazie kwenye kujua nini wala nini
Tujifunze kufokasi sii kuangalia makosa ya uandikaji mimi shida yangu ni ujumbe wa hiyo post tu unanitosha kwamba wanalipwa kufanya kampeni japo ni makada
 
Alaaa, sasa kuna faida gani kama hela yenyewe hata milioni 5 haifiki, si ujinga huo?
Hivi hawa wanaobebeshwa huwa wanarubuniwa kitu gani labda hadi wanabeba?mfano mtu anakubali kupeleka mzigo china labda
Maisha magumu mkuu unaambiwa hata chumba amepangiwa na daudi
 
Maisha magumu mkuu unaambiwa hata chumba amepangiwa na daudi
Maisha ya kuigiza yana wakosti hawa akina dada,si kingine......wakibeba hayo matakataka wanaenda kumalizia hela kwenye malls huko walikopeleka mizigo
 
Aiseee, nibebe mzgo nilipwe chini ya mil 30.......wakat najua kabisa mzgo ni wa mil 150 ni USENGEREMA wa hali ya juu
 
Wale wale kina nani? Waliozungusha yani? Yani fa fa faa?? Auuu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima atetee maana alikua chakula cha yule aliepata fa fa fa!! Umenichekesha hiyo fa fa fa ![emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…