Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Chezeiya ubuyu na mambo ya shilawadu, Daudi alikuwa anawafanyia recycling tu ya hawa wasanii had issue ya masogange ilivo mbumbulika, tena maso amshukuru Daudi kumsitiri maana hata chumba cha kulala hakuwa nacho.Aisee watu wana ubuyu hapa mjini hadi unaweza kupagawa kabisa