Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ame wa masogange mkuuHivi unaposema amewachakaza una maanisha nini mkuuu.
Naomba kujua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ame wa masogange mkuuHivi unaposema amewachakaza una maanisha nini mkuuu.
Naomba kujua.
Nani? Fa fa fa fa kachakaza??Daudi amewachakaza mno Bongo movie kina wolper hawa wasanii ni jipu kweli
MabolooooHivi unaposema amewachakaza una maanisha nini mkuuu.
Naomba kujua.
Fa faaaa ni hatari I feel sory kwa mkewe jinsi alivo mpole maskini kweli ndoa yahitaji uvumilivu.Nani? Fa fa fa fa kachakaza??
"Sisi hata Nigeria hatuja toboa""Nigeria wenzetu sasa wapo Holywood wanaigiza"
Siku hizi anaitwa kamanda sio madam tenakwani uwoya hiyo hajamlenga madame au
Ndo hivyo chakula ya watu, wanachukuana kwa siri bila kujua hiyo siri ni faida kwa mwanamke kuwachanganya woteAiseee, huu ubuyu dadangu Nifah hakuwah kunimegea so kuna bashite na mkuu wa mambo ya ndani wote wamepita
"Kwastaili hiii... Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no""Sisi hata Nigeria hatuja toboa"
Hahaaaaaa noma sana"Kwastaili hiii... Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no"
Ndo manake....c hata stifini aliweza kulia kabisa ili kuwatengenezea watu wasionekane na kosa.!! njaa na uoga ni mbaya sana hasa kwa wasanii ambao mtaji wao ni midomo yaoNanukuu "Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa?