Sakata la diamond na hamisa lamtoa povu shilole

Shilole nae ana matatizo yake ! Anatamani sana hilo zali lingemuangukia yeye ila ndiyo hivyo tena.

Yeye aendelee kuchoma chipsi, mbona poa tu
Ninachojiuliza yeye alipomchukua Uchebe alimuheshimu mke wa Uchube? Huyu Dada anatapa tapa tu
 
Shilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.
ila mwambieni na yeye na upambanaji wake aache kufutika waume za watu ndani, uchebe katelekeza watoto kisa Kawekwa ndani na shilole ama kweli nyani haoni kundule
 
Kwa Mara ya kwanza, Shilole kaongea point ya maana sana. Wanawake wa aina ya Hamisa inabidi wabadilike. Jiheshimuni ndipo mtaheshimiwa.
 
Shilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.
Ndio maana nimesema mbona poa tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…