kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Mkuu mi nimeshangaaJF raha sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi nimeshangaaJF raha sana....
Hivi kwanini wanawake hasa wa Bongo hatipendani!! Yaani tumeona alichofanya Hamisa ni kama dhambi kuubwa sana na haijawahi tokea DunianiKabisa yaan
Ninachojiuliza yeye alipomchukua Uchebe alimuheshimu mke wa Uchube? Huyu Dada anatapa tapa tuShilole nae ana matatizo yake ! Anatamani sana hilo zali lingemuangukia yeye ila ndiyo hivyo tena.
Yeye aendelee kuchoma chipsi, mbona poa tu
ila mwambieni na yeye na upambanaji wake aache kufutika waume za watu ndani, uchebe katelekeza watoto kisa Kawekwa ndani na shilole ama kweli nyani haoni kunduleShilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.
Ndio maana nimesema mbona poa tu mkuuShilole mpambanaji, usimfananishe na mademu wanaotegemea urembo kundesha maisha yao town. Kwanza bora anavyochoma chips zake kuliko kutegemea watu watafute pesa ndio wakupe wewe.