Sakata la Diamond na Hamissa: Wanafiki ndio wapo kazini

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond katika mahusiano yake na Target ni kumuumiza ZARI

Kama ZARI Atakubali kutikiswa na Wanafiki kupitia HAMISSA mobeto basi atakuwa amejishushia heshima sana.....Mimi Zari mbali ya kumkubali kama mwanamke mtafutaji na mkubali pia kama mwanamke anae pitia challenge nyingi sana tena na kubwa kubwa.....wakati wa Mimba ya TIFFAH alisemwa sanaa hadi nikajiuliza huyu mtoto atakae zaliwa atakuwaje? Lakini Mungu si Mwanadamu....kapitia misiba 2 mikubwa hivyo hizi kelele za kuwa HAMISSA ana Mtoto wa Diamond Sio za kushangaza sanaaaa!!!

Watu wameanza kumjua HAMISSA na DIAMOND baada ya Wimbo wa Salome na Ile birthday lakini ukweli ni kwamba HAMISSA na diamond Wameanza urafiki kabla hata diamond hajawa na Wema Sepetu hivyo kama diamond angemuhitaji Hamissa alikuwa anampata toka kitambo!! ASINGEENDA KWA PENNY......

Hamissa Kaoneka Kwenye video ya Diamond ya MAWAZO wimbo ulitoka 2012 sijui 2013 kitambo hichoooooo HAMISSA walikuwa washkaji na Diamond kabla ya wema na penny

Ndio maana nasema Kuwa Wanafiki ndio wanao eneza story za Diamond na HAMISSA ........Hamissa hajaanza kupenda kazi za diamond leo! Sasa hizo story za kuwa Hamissa ana Mimba Ya diamond sijui ana mtoto wa Diamond hizo story za KUOKOTWA .....Ila Diamond atachelewa kupotea kwenye Game sababu ni kama hizii anaongelewa kuliko msanii yeyote yulee

Hili nalo litapitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii thread haitachangiwa sana. Humu kuna watu wana roho mbaya jamani. Wanamchukia zari utadhani diamond alikua hawara yao.

Ukipost uzi wa kumnanga zari uwiii watajazana na kutoa nyongo zao,wivu mtupu
Pambana na hali yako

DPP
 

wewe unachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?
 
Acha ubbwege wewe unnachambua mambo ya chumbani ya watu kabisa tena kwa.kujiamini eti hajawahi kumfanya!!..kweli? Kwani ngono.zinafanywa hadharani ndio uwe na uhakika hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

-Ndumilakuwili-
 
Hahaaaaa, Hamisa anajiita mama Dee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Diamond anafanya huwa anakuita umshikie miguu?

Lexus Mayai
 
Mnafiki nambari uno niMange jamni!! Huyu mama sijui Zari alimkosea nini!! Huwa anatafuta kijisababu chochote amdhalilishe au kumfedhehesha Zari. Leo kamnaaaanga Zari wa watu huko insta kisa zati kasema wasimtag mtoto wake kwenye nyuzi za misa.
Zari naye angekaa kimya tuu, kwani kimya ni jibu la mjinga.
Wema is super cool, seems kesha move on. Ila dada ake wa kuchovya Mange naona atafanya sherehe siku mondi na Zari wakiachana, utadhani yee atafaidika. Roho ya huyu dada chibokooo
 
mambo y ubuyu hya daah

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Wale waliokua wanamsema diamond hana uwezo wa kumbebesha mimba mwanamke eti katoa kafara uzazi wake. Ndio hao walioshupalia kua mtoto wa hamisa wa diamond. Leo hii wanasema tiffa kapata mdogo mwingine wakati walisema tiffa mtoto wa katunzi
Huu nao ni upepo kama pepo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…